Diamond alikuwa na haki kukasirika kuibiwa kofia

Diamond alikuwa na haki kukasirika kuibiwa kofia

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi.

Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged.

Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa.

Na hiki kitendo kilimkasirisha sana Diamond siyo kwasababu kofia ni ghali bali kufanyiwa matambiko na kurogwa kupitia hiyo kofia.

Haya mambo yapo kabisa. Siyo kila mtu anakupenda ukizingatia umaarufu wake.

Waswahili tunarogana hivihivi na kuibiana nyota kupitia nguo zako na kofia etc.

adhani hili tukio ndio lilimfanya akasirike na kushikwa na jazba na kupanic.
 
Nilikuheshimu sana mkuu, kumbe nawe unaamini kwenye mambo ya kusadikika?

once a third world dweller, always a third world dweller
Haya mambo yapo. Mimi nilishapigwaga kimbola 2006 kwasababu ya kufululiza kula nyama kila siku. Nikaamini uchawi hupo. Yani kichwa kilikuwa kinapanuka halafu kinarudi kinakuwa kidogo. Kakobe ndo aliniokoa alipokuja A town.
 
Asante kwa Bandiko la kishirikina Mkuu.

DIAMOND ALIKASIRIKA KWASABABU ALIKUWA HATAKI RASTA ZAKE ZA ASAKE ZIONEKANE

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Huyu jamaa huko mambele si anaosha magari tu au anapikia watoto wa kindergaten
Halafu hiyo ya kindergarten kupikia na kutunza hao madogo ni hela ndefu na lazima uende shule. Kwenye hiyo magari kuosha ndo zangu haitaji shule ila weledi wa hali ya juu. Ila sijifu ikija swala la kazi za usafi iwe garage cleaning, showrooms, offices,hospitals, treni na mabasi, meli nakuomba vyombo/dishwashing hapo Mungu kanibariki.

Sehemu zote nilizofanya naacha alama. Hata nikimricomend mtu anaajiriwa. Kazi ya usafi ipo damuni.

Watu wanadhani kufanya usafi ni rahis. Inahitaji weledi.

Kuna uzi flani nauandaa KUHUSU kuosha vyombo dishwashing/kitchen assistant ila nasubiri kwanza niconfem ila bfo christmastime nitakutag nimemuahidi pia mwamba The Icebreaker Naye nitamtag.
 
Mwafrika hata akiishi Ulaya miaka mia kuna akili za kinyani(apedomia) haachi. Mfano mourn ni huyu Maghayo kaishi Ulaya ila bado anaamini alilogwa kichwa kikawa kinapanuka. Nimemtoa maana kabisa huyu jamaa
Hahaha. Nyie watu nyie haki ya nani mnanichekesha
 
Haya mambo yapo. Mimi nilishapigwaga kimbola 2006 kwa kufululiza kula nyama kila siku. Nikaamini uchawi hupo. Yani kichwa kilikuwa kinapanuka halafu kinarudi kinakuwa kidogo. Kakobe ndo aliniokoa alipokuja A town.
Wewe jamaa tapeli kwelikweli🤣🤣. Kwa hiyo ulikuwa unasali kwa Kakobe pale Mianzini?
 
Wewe jamaa tapeli kwelikweli🤣🤣. Kwa hiyo ulikuwa unasali kwa Kakobe pale Mianzini?
Hapana mkuu. Unakumbuka ziaraya Kakobe 2007 Arusha? Ilibidi nipelekwe asee. Leo singekuwepo. Namuheshimu sana huyu mchungaji. Hata nilipokuja mtoni nakurudi likizo nilimtolea sadakas ndefu sana.
 
Amekuwa akionekana mara kadhaa jukwani akitupa kofia,prova na vinginevyo kwa mashabiki kama ndio kurogwa kupo pale pale,kuna jambo limejificha nyuma yake
 
anayejifanya haamini uchawi huyo ni mbwa jike .vitabu vyote vya dini vina amini uchawi, wale mamajusi kipindi yesu anazaliwa walikuwa wanaifatilia nyota ya yesu waifanyie nini?
 
Ukiwa mchawi unaogopaje kurogwa.
Ilikuwa ni comedy tu kuongeza views
 
Mwafrika hata akiishi Ulaya miaka mia kuna akili za kinyani(apedomia) haachi. Mfano mzuri ni huyu mtawaza wazee wa Kizungu ndg yetu Maghayo kaishi Ulaya ila bado anaamini alilogwa kichwa kikawa kinapanuka. Nimemtoa maana kabisa huyu jamaa
Uchawi ni global
 
Back
Top Bottom