bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Lakini Sio kuendekeza Bata tu mkirudi bongo mmechoka zaidi ya kiingereza hamna hata Banda la kuku.Hahaha. Nyie watu nyie haki ya nani mnanichekesha
Mtu anakaa miaka 30 nje anarudi kachoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Sio kuendekeza Bata tu mkirudi bongo mmechoka zaidi ya kiingereza hamna hata Banda la kuku.Hahaha. Nyie watu nyie haki ya nani mnanichekesha
Na ilishalowa jashoMzuka wanajamvi.
Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged.
Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa.
Na hiki kitendo kilimkasirisha sana Diamond siyo kwasababu kofia ni ghali bali kufanyiwa matambiko na kurogwa kupitia hiyo kofia.
Haya mambo yapo kabisa. Siyo kila mtu anakupenda ukizingatia umaarufu wake.
Waswahili tunarogana hivihivi na kuibiana nyota kupitia nguo zako na kofia etc.
adhani hili tukio ndio lilimfanya akasirike na kushikwa na jazba na kupanic.
Umeshafika nchi ngapi kusema uchawi ni global? Hauumwi Apedomia?Uchawi ni global
Umeshafika nchi ngapi kusema uchawi ni global? Hauumwi Apedomia?