Huyu jamaa huko mambele si anaosha magari tu au anapikia watoto wa kindergatenNilikuheshimu sana mkuu, kumbe nawe unaamini kwenye mambo ya kusadikika?
once a third world dweller, always a third world dweller
Haya mambo yapo. Mimi nilishapigwaga kimbola 2006 kwasababu ya kufululiza kula nyama kila siku. Nikaamini uchawi hupo. Yani kichwa kilikuwa kinapanuka halafu kinarudi kinakuwa kidogo. Kakobe ndo aliniokoa alipokuja A town.Nilikuheshimu sana mkuu, kumbe nawe unaamini kwenye mambo ya kusadikika?
once a third world dweller, always a third world dweller
Hahaha asee kusema kweli comments kama hizi zinanichekeshaga sana. Mkizitumaga nikiwa kwenye hadhara nachekaga kwasauti hadi walio karibu yangu nashangaa.Huyu jamaa huko mambele si anaosha magari tu au anapikia watoto wa kindergaten
Halafu hiyo ya kindergarten kupikia na kutunza hao madogo ni hela ndefu na lazima uende shule. Kwenye hiyo magari kuosha ndo zangu haitaji shule ila weledi wa hali ya juu. Ila sijifu ikija swala la kazi za usafi iwe garage cleaning, showrooms, offices,hospitals, treni na mabasi, meli nakuomba vyombo/dishwashing hapo Mungu kanibariki.Huyu jamaa huko mambele si anaosha magari tu au anapikia watoto wa kindergaten
Hahaha. Nyie watu nyie haki ya nani mnanichekeshaMwafrika hata akiishi Ulaya miaka mia kuna akili za kinyani(apedomia) haachi. Mfano mourn ni huyu Maghayo kaishi Ulaya ila bado anaamini alilogwa kichwa kikawa kinapanuka. Nimemtoa maana kabisa huyu jamaa
Wewe jamaa tapeli kwelikweli🤣🤣. Kwa hiyo ulikuwa unasali kwa Kakobe pale Mianzini?Haya mambo yapo. Mimi nilishapigwaga kimbola 2006 kwa kufululiza kula nyama kila siku. Nikaamini uchawi hupo. Yani kichwa kilikuwa kinapanuka halafu kinarudi kinakuwa kidogo. Kakobe ndo aliniokoa alipokuja A town.
Hapana mkuu. Unakumbuka ziaraya Kakobe 2007 Arusha? Ilibidi nipelekwe asee. Leo singekuwepo. Namuheshimu sana huyu mchungaji. Hata nilipokuja mtoni nakurudi likizo nilimtolea sadakas ndefu sana.Wewe jamaa tapeli kwelikweli🤣🤣. Kwa hiyo ulikuwa unasali kwa Kakobe pale Mianzini?
Huko mbele ndio umejaa hadi wanacheza movie kabisaHuyu jamaa huko mambele si anaosha magari tu au anapikia watoto wa kindergaten
Uchawi ni globalMwafrika hata akiishi Ulaya miaka mia kuna akili za kinyani(apedomia) haachi. Mfano mzuri ni huyu mtawaza wazee wa Kizungu ndg yetu Maghayo kaishi Ulaya ila bado anaamini alilogwa kichwa kikawa kinapanuka. Nimemtoa maana kabisa huyu jamaa