Hapo usikute dogo (Diamond) ameambulia 10m, nyingine zimeishia mifukoni mwao na dogo wamemziba mdomo. Kwa CCM lolote linawezekana.
Vp Ally Kiba Hatakuwepo?
Hakuna tishio la ugaidi? Zile silaha zilizo ibiwa kutoka kwa polisi ikwiriri hazitotumika huko katika mkutano kuleta Maafa?
Polisi wameridhia?
Hatari tupu.. Nowonder Zari is in town...