Diamond alipwa millioni 50 na CCM

Diamond alipwa millioni 50 na CCM

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,915
Reaction score
5,233
Chama cha mapinduzi CCM kesho tarehe 1 Feb 2015 kinaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwake mjini songea mkoani Ruvuma.

Kundi la TOT ambalo linamilikiwa na CCM litakuwepo mjini songea kutumbuiza na mwanamuziki Diamond Plutinumz amekubali kutumbuiza baada ya chama cha CCM kukubaliana naye kwa shingo upande kumlipa milioni hamsini (50 mil.) ili Diamond atumbuize kesho.
 
Diamond vp!! Ccm wanamahela hao walikuwa wakupe M100 ndio upige show.
 
Hapo usikute dogo (Diamond) ameambulia 10m, nyingine zimeishia mifukoni mwao na dogo wamemziba mdomo. Kwa CCM lolote linawezekana.
 
shabash... 50 mills only?!... Come on Dangote you are too cheap. Hao walipeana 'In good faidh' 320 bills za escrow halafu wewe wanakupa 50 mills... Shabash
 
Kuna mtu aliandika juzi eti Diamond ameanza kuanguka kimuziki. Anyway napita tu
 
Askari wamekubali huu mkutano wa ccm ufanyike au ndo watavamia na kutoa kipigo kama walichompiga Lipumba?
 
Hakuna tishio la ugaidi? Zile silaha zilizo ibiwa kutoka kwa polisi ikwiriri hazitotumika huko katika mkutano kuleta Maafa?

Polisi wameridhia?
 
Hakuna tishio la ugaidi? Zile silaha zilizo ibiwa kutoka kwa polisi ikwiriri hazitotumika huko katika mkutano kuleta Maafa?

Polisi wameridhia?

Itakua ni kituko kama hii shuhuli ya ccm itafanyika kipindi ambacho sio salama kabisa, intelijesia ya polisi imegundua kuna dalili ya tukio la ugaidi kutokana na silaha zilizoibwa kituo cha polisi ikwiriri.
 
Back
Top Bottom