I WANT MY APOLOGY......Nenda wewe umupelekee kijambio chako, maana unafikiria wote tunawaza ka wewe akitoka kukugonga wewe mupelekee dada zako, maana inaonyesha kwenu ni cheap Hadi mnatweza utu wenu
Huwa anasema hivyo hawezi kudate na mtu wa tandale, mara sio level zake ila mwisho wa siku ukiangalia profile yake aliotoka nao ni kina Mo-racka, Crazy G.k watu ambao hawamzidi anayemponda katika nyanja za fedha, expossure , umaruufu n.kSasa kwani huyo Diva amewahi kudate na Diamond ?
Ebu uwe unatumia akili ya kawaida hao watu maarufu atawapatia wapi?Kutom.beka anatom.beka sema yy anadai hatombeki kwa upepo wa umaarufu....
wapogo madem wa hivyo.....though...
Ni watu tofauti ila mawazo yenu yanafanana, huenda hata tabia zinafanana...Huyo alikuwa diva wa clouds naheshimu maoni yake na Mimi wa JF ni mtu wa tofauti kabisa ni mbingu na ardhi
WanajishauaHamna kituu hapoo mkuu...!! Hakuna demu Bongo hii asioegongekaa mbele ya pesaa..
Sana tuu...!!Wanajishaua
YOU WILL APOLOGIZE ABOUT WHAT U SAID ABOUT MY MOTHER UP THERE.....APOLOGIZENenda wewe umupelekee kijambio chako, maana unafikiria wote tunawaza ka wewe akitoka kukugonga wewe mupelekee dada zako, maana inaonyesha kwenu ni cheap Hadi mnatweza utu wenu
🏃🏃🏃🏃🏃🏃So.... Naweza nikaja inbox kwako, nikakupa namba yangu, then tu arrange namna tutaonana then unambie face to face ulichosema hapa...... Au unasemaje?!
I WANT MY APOLOGY FOR WHAT U SAID ABOUT MY MOTHER.....Hahaaa una hasira na umevaa miwani ya mbao na hauwezi kuona kamwe
Unataka nimtukane mzazi wako ambaye hana hatia , au nikutukane wewe ingali sikufahamu?Wewe Diamond akikutaka utakataa ?
Mimi nataka aniombe radhi hawa madogo wa siku hizi wanajikuta wanajua sana kufyatuka akili. Sijawahi mtukania mtu mama yake hata aniudhi au anicross vipi..... Its so unethical and immoral kumtukania mtu mzazi wake....Msifikie huko jamani, tutaniane tujibizane personaly but don't extend this to our parents. Hawana linalowahusu hapa wala wengine hawapo kabisa duniani.
secret file mwanamke sio wa wakumuamini kwa asilimia 💯 ndio maana tukaambiwa tuishi nao kwa akiliAlaa kumbe ndivyo alivyo.....!
Wanapatikana kuna mchizi anafanya kazi Hyatt hotel ana contact zao wote hao.....Ebu uwe unatumia akili ya kawaida hao watu maarufu atawapatia wapi?
I WANT MY APOLOGY NOW. I DON'T KNOW YOU.... U DONT KNOW ME LIKE THAT...... APOLOGIZE NOW..... ITS OKAY UKINITUKANA HOW YOU LIKE WE CAN HAVE FUN.... BUT MY MOTHER.... I TAKE THAT VERY PERSONAL.... SHE MY SECOND GOD YOU KNOW AND U DON'T JUST CALL SOMEONE'S MOTHER STUPID..... I HAVE RESPECT TO ALL MOTHERS AND FATHERS IN THE WORLD. EVERYONE'S MOTHER IS MY MOTHER TOO...Nenda wewe umupelekee kijambio chako, maana unafikiria wote tunawaza ka wewe akitoka kukugonga wewe mupelekee dada zako, maana inaonyesha kwenu ni cheap Hadi mnatweza utu wenu
Sawa hayo yote umesema me nataka kujua if you really mean it.... So can you meet me... Nalipia gharama zote halafu unambie hayo maneno to my face....?!Mimi sina pesa wala umaarufu, huo muda utumie kumfurahisha Diamond, ikiwezekana mzalie kabisa
Ishtoshe sina muda mimi wa kukutana na machoko, though kiutu nawaheshimu tu.
Njoo nikupe penzi la kiutu uzima mama achana na vijana wakorofi hao....ha hahaaBinafsi huyo Domo hata wanaume waishe wote humu duniani tubaki wawili mi na yeye simtaki
Na simtaki kwa pesa yake na simtaki pia kwa mwonekano wake
Labda over my dead body
Wanaume wanadhani kila mwanamke humu duniani akiona mwanaume ana hela ana shoboka which is totally wrong, wanawake wengine sio washamba wa hela jamani[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] U see sasa..... Mwanaume akikuita unakimbia..... Njoo basi mbona unaanza kuwa wabiridi si umesema mimi ni namna gani vipi au?![emoji867][emoji867]