Diamond alivyompata Mimi Mars ni kama watu wanaonunua bidhaa online na kuletewa wanapoishi!

Status
Not open for further replies.
Hamna cha kujuana, Mkurugenzi hatongozagi anaitisha mtu. Au anaacha maagizo..ile ilikuwa geresha tu! Katika akili yako unategemea demu wa kibongo akatae kudate na mtu kama Diamond? Hata dada yako mwenyewe akiitwa Wasafi lazma atakimbiza fito zake chap.
 
Kumbe tayari? Ama kweli hakuna demu mgumu mbele ya mkwanja, tatizo wozzu alikuwa hana pesa ndo maana kila akimtongoza demu anajifanya eti wozzu analeta utani. 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
Hahahaha sio kwamba hana pesa, Whozu ana utoto mwingi bado still ana akili za kibishoo. Sio kila demu anaangalia hela tu kuna factor zingine wanazingatia
 
Ina maana pamoja na urembo/uzuri/ulimbwende wa Mimi mars wote huo hakuwaga na njemba yeyote kabla ya hio promo ya mondi??
Alikua anatumia dildo ama vepe
Wahuni wanatafuna tu, kama Lunya aliweka akampasia Mario. Sema anatombwa na watu ambao sio wapenda kiki. Kwa Mondi kashindwa kuruka maana ni kama dream ya kila demu kutoka nae kwa zama hizi.
 
We jamaa bana😂
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…