Diamond aliwakosea sana ATCL

Watanzania naomba kuwauliza hivi Diamond ana pesa gani ya kulichezea shirika la umma mpaka lika yumba? Ange kuwa Bakhresa hapo ningesema sawa kwa sababu BaraleBakhresa ni kampuni ambayo watanzania wengi wanaitegemea kwa ajira kipato na maisha ya watanzania, lakini sio Diamond.

Diamond yeye ni nani hasa mpaka anathubutu kudharau sheria za hii nchi? Kampuni yake imetoa ajira ngapi kwa watanzania? Watanzania wangapi wanategemea kuwepo kwake?

Watanzania mbona tuna kuwa mbumbumbu namna hiyo? Yaani mtu masikini kama Diamond ambaye hata kipaji cha kuimba hana anatubabaisha sisi wenye akili timamu kweli? Mtu asiye kuwa na busara kama Diamond ndiyo mnataka awe rol model wa watoto na vijukuu vyetu kwa sababu ya senti zake mbili alizopata?

Diamond kwa tabia hiyo inapaswa sasa asionekani tena kwenye ukumbi wa sanaa. Watanzania hatuwezi tukakubali msanii mwenye tabia mbaya na chafu na asiye tii sheria za nchi aendelee kutudhalilisha na kuwaharibu vijana wa taifa letu la baadae.

Naomba wahusika watoe mfano mkali sana kwake ili mbeleni tusipate tena vijana wanao taka kutuchafulia utamaduni wa maisha ya nchi kama yeye. Diamond anastahili auawe kisanaa. Imekuwa too much sasa. Naona Tanzania linakuwa kama Taifa ambalo halina intelectual! Inasikitisha sana.

Dr Mwakyembe please kill the guy kuwa msanii. Tumechoka na watu ambao hawana talent kama yeye waendelee kutu embarrass namna hiyo. Aondoke kabisa kwenye jukwaa la sanaa. Hivyo sisi tutakuwa taifa gani mpaka vichaka kama Diamond watunyanyase?

Naona sasa umaarufu umemkaa kiasi kwamba anajiona kuwa yeye ni mungu na anadhani ulimwengu wote unamtambua yeye. Nafikiri sasa wakati umefika yeye na mama yake kuwaonyesha kuwa mambo hayaendi hivyo. Hii tabia ya wao kuendelea kuwa dhalilisha watoto wetu wa kike na dada zetu uwe na kikomo. Enough is enough! Sisi watanzania sio wajinga kama wao wanavyo fikiria.

Kwa kauli zake za kama kwenye Interview na Times FM are disgusting na ninge msii Diamond asome history ya Charly Chaplin ili ajue nini kilimtokea baada ya kuondoka Amerika na kwenda Paris Ufaransa, pomoja na kuwa alikuwa na umaarufu na talent kubwa ya kuwa actor mzuri wa filam.

Kama yeye anafikiri anaweza akaenda nchi nyingine na kuji behave kama anavyo fanya Tanzania na wao waka mwangalia tu, mwambieni aende. Nashangaa kumwona mtu ambaye hana talent ya kuimba lakini mwenye mdomo mkubwa kama yeye.
He has nothing to deliver. Absolutely nothing!!! Mwimbaji kama Ruby huyu ndiyo mtu naweza sema ana talent ya kuimba. Ni mwimbaji mzuri na ana meet Pitch zote za sound!
 
We mpumbavu umetema pumba kuandika,kujieleza huwezi.unaweza kuta na wewe ni mume wa mtu.kweli wanawake wana huruma.
 

Mkuu nitatofautiana na wewe sehemu ndogo, juu ya talanta, mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe, HIYO ANAYO.

Tatizo la dogo kubwa ni Management yake. They are hopeless kabisa. Salam + Tale= Anguko la Dogo. Asiposhtuka mapema amekwenda na maji.
 
Sawa tumekuelewa ila hapo kwenye kipaji hana ni unafiki na uzandiki wa hali ya juu jaribu kumnyonga mnyonge ila haki anayostahili mpe.
 
We mpumbavu umetema pumba kuandika,kujieleza huwezi.unaweza kuta na wewe ni mume wa mtu.kweli wanawake wana huruma.
Inawezekana kweli me mpumbavu. Nashkuru. Ila ukweli ndo huo
 
Nadhani amekosea sana yaani Hata atcl wangekuwa na makosa ikibidi afanye mambo kwa Akili ya hali ya juu!

Maana awamu hii kuipa kashfa mbaya Atcl ni sawa na kugusa roho ya jpm hawezi akakuacha!
 
Mkuu nitatofautiana na wewe sehemu ndogo, juu ya talanta, mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe, HIYO ANAYO.

Tatizo la dogo kubwa ni Management yake. They are hopeless kabisa. Salam + Tale= Anguko la Dogo. Asiposhtuka mapema amekwenda na maji.
Hapa wewe unacho maanisha na neno talent ni uwezo wa kutunga texts za wimbo au melodies ambazo anapewa aziimbe, lakini hunamaanish Sound Pitch?

Kama unayajua mambo ya Sound Technic vuzuri katika physics, ebu tujikumbushe kodogo;

"The sensation of a frequency is commonly referred to as the pitch of a sound. A high pitch sound corresponds to a high frequency sound wave and a low pitch sound corresponds to a low frequency sound wave."

Maana yake ni kwamba wave length ya one oscillation ikiwa fupi ni high pitch na wave length oscillation ikiwa ndefu ni low Pitch. Kwa hiyo Talent ya uimbaji wa mtu haimaanishi melody au texts bali ni frequency. Ukiwasikiliza waimbaji wengi wa kitanzania utaona wana imba Flat.

Katika Entertainment Diamond yuko safi na ana weza akatoa show nzuri labda hicho ndiyo una maanisha, lakini katika uimbaji mkuu nakataa. Katika Bongo Flava yuko mtu mmoja tu Tanzania naye ni Msanii Ruby.

Uwezo wa uimbaji wa msanii Ruby ni mkubwa sana na hauna mfano kwa hivi sasa Tanzania kwenye Bongo flava. Na nina uhakika akijitahidi kwenda kuimba Ulaya au Amerika atakuwa maarufu sana. Ana uwezo wa ku-hit a wide range of frequncies. Na hata hivyo nafikiri bado hajawa challenged enough. Akipata Training nzuri atakuwa kwenye Level moja na Whitney Houston. Naomba walinganishe hao wawili. Usijali melodies ila naomba sikiliza kwa makini ukilinganisha clearness ya frequencies tofauti. Kama una touch ya sound unajua nini namaanisha.
Ndiyo nakubaliana na wewe kuwa Ruby hayuko creative katika kutunga nyimbo kama Diamond, lakini hiyo haimanishi kuwa hana Talent. Diamond na waimbaji wengine kama Nandy hawawezi fikia level ya Whitney Houston hata mara moja. Hata wapate Training ya aina gani, hawawezi. Hicho ni kipaji cha kuzaliwa.

Naomba wasikilize vizuri hapa wakijaribu kuimba katika frequencies tofauti. Utagundua wanatumia nguvu nyingi lakini sound haiwi clear.
 
Angewahi, ange - check in. Hakumuona kwa kuwa hakucheck in. Ina maana Alichelewa. Ndege siyo Bus!
Nasikitika hawezi kukuelewa kwani wengi wao hawajui nini maana ya check in. Viwanja vya ndege wataviona kwa mbali au nje. Kwa hiyo ni vigumu kuelewa kusafiri na ndege kupo vipi.

Ingekuwa vizuri kama shule za msingi wakawa na Programms za kuomba vibali vya kwenda Airports kuona na kujifunza jinsi gani Abiria wanakuwa wakihudumiwa.
Hiyo itaongeza uwezo wao wa kuelewa vitu na wakati huo huo ku inspire wanafunzi wawe na bidii katika masomo yao.

Kusoma sio vitabu tu pia videos madarasani zinasaidia sana.
 

UCHAMBUZI UMESHIBA.
Kwa Ruby nipo nawe kabisa
 
Nakushukuru kwa kunielewa!
 
Sawa tumekuelewa ila hapo kwenye kipaji hana ni unafiki na uzandiki wa hali ya juu jaribu kumnyonga mnyonge ila haki anayostahili mpe.
Mkuu naomba angalia mchango namba 30 kwenye huu Uzi. Kama hujarizika basi nishtue tujadiliane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…