Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Watanzania naomba kuwauliza hivi Diamond ana pesa gani ya kulichezea shirika la umma mpaka lika yumba? Ange kuwa Bakhresa hapo ningesema sawa kwa sababu BaraleBakhresa ni kampuni ambayo watanzania wengi wanaitegemea kwa ajira kipato na maisha ya watanzania, lakini sio Diamond.
Diamond yeye ni nani hasa mpaka anathubutu kudharau sheria za hii nchi? Kampuni yake imetoa ajira ngapi kwa watanzania? Watanzania wangapi wanategemea kuwepo kwake?
Watanzania mbona tuna kuwa mbumbumbu namna hiyo? Yaani mtu masikini kama Diamond ambaye hata kipaji cha kuimba hana anatubabaisha sisi wenye akili timamu kweli? Mtu asiye kuwa na busara kama Diamond ndiyo mnataka awe rol model wa watoto na vijukuu vyetu kwa sababu ya senti zake mbili alizopata?
Diamond kwa tabia hiyo inapaswa sasa asionekani tena kwenye ukumbi wa sanaa. Watanzania hatuwezi tukakubali msanii mwenye tabia mbaya na chafu na asiye tii sheria za nchi aendelee kutudhalilisha na kuwaharibu vijana wa taifa letu la baadae.
Naomba wahusika watoe mfano mkali sana kwake ili mbeleni tusipate tena vijana wanao taka kutuchafulia utamaduni wa maisha ya nchi kama yeye. Diamond anastahili auawe kisanaa. Imekuwa too much sasa. Naona Tanzania linakuwa kama Taifa ambalo halina intelectual! Inasikitisha sana.
Dr Mwakyembe please kill the guy kuwa msanii. Tumechoka na watu ambao hawana talent kama yeye waendelee kutu embarrass namna hiyo. Aondoke kabisa kwenye jukwaa la sanaa. Hivyo sisi tutakuwa taifa gani mpaka vichaka kama Diamond watunyanyase?
Naona sasa umaarufu umemkaa kiasi kwamba anajiona kuwa yeye ni mungu na anadhani ulimwengu wote unamtambua yeye. Nafikiri sasa wakati umefika yeye na mama yake kuwaonyesha kuwa mambo hayaendi hivyo. Hii tabia ya wao kuendelea kuwa dhalilisha watoto wetu wa kike na dada zetu uwe na kikomo. Enough is enough! Sisi watanzania sio wajinga kama wao wanavyo fikiria.
Kwa kauli zake za kama kwenye Interview na Times FM are disgusting na ninge msii Diamond asome history ya Charly Chaplin ili ajue nini kilimtokea baada ya kuondoka Amerika na kwenda Paris Ufaransa, pomoja na kuwa alikuwa na umaarufu na talent kubwa ya kuwa actor mzuri wa filam.
Kama yeye anafikiri anaweza akaenda nchi nyingine na kuji behave kama anavyo fanya Tanzania na wao waka mwangalia tu, mwambieni aende. Nashangaa kumwona mtu ambaye hana talent ya kuimba lakini mwenye mdomo mkubwa kama yeye.
He has nothing to deliver. Absolutely nothing!!! Mwimbaji kama Ruby huyu ndiyo mtu naweza sema ana talent ya kuimba. Ni mwimbaji mzuri na ana meet Pitch zote za sound!