Diamond Platnumz anaendelea kupata nominations za tuzo mbalimbali ndani na nje ya Afrika, ambapo hivi sasa amechaguliwa kuwania tuzo mbili za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) 2015 za Marekani.
Baba Tiffah amechaguliwa kuwania kipengele cha ‘Best African Song' kupitia wimbo wake ‘Nana' aliomshirikisha Flavour wa Nigeria, pamoja na ‘Best African Entertainer'.
"Alhamdulilah… ndugu zangu kijana wenu nimechaguliwa tena kwa tunzo za IRAWMA za Nchini Marekani…kama Mburudishaji bora wa Africa na nyimbo ya #NANA kama Nyimbo Bora ya Africa…kama mnakumbukumbu nzuri mwaka jana tuliweza kuishinda Tunzo hii… ambapo #MdogoMdogo ilishinda kama Nyimbo bora ya Kiafrica na mimi kama Mburudishaji bora wa Africa… InshaAllah,Naamini na mwaka Huu pia itakuja Nyumbani #JonsWeekend ." Ameandika Diamond Instagram.
Nyimbo nyingine zinazoshindanishwa katika kipengele hicho ni "Enemy Solo"ya Awilo Longomba aliowashirikisha P-Square, "Original" ya Fally Ipupa, "Dance 4 Me Remix" ya J.Martins ft. Koffi Olomide na "Garlie O Remix" ya Patoranking ft. Tiwa Savage. Tuzo hizo zitatolewa October 4,2015 huko
Florida, Marekani.
Chanzo: Bongo5
Kumpigia kura ingia hapa ⬇
http://www.martinsinterculture.com/irawma/irawma_vote2015.html