Diamond amechaguliwa kuwania tuzo mbili IRAWMA za nchini Marekani

Diamond amechaguliwa kuwania tuzo mbili IRAWMA za nchini Marekani

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Diamond Platnumz anaendelea kupata nominations za tuzo mbalimbali ndani na nje ya Afrika, ambapo hivi sasa amechaguliwa kuwania tuzo mbili za International Reggae and World Music Awards (IRAWMA) 2015 za Marekani.

Baba Tiffah amechaguliwa kuwania kipengele cha ‘Best African Song' kupitia wimbo wake ‘Nana' aliomshirikisha Flavour wa Nigeria, pamoja na ‘Best African Entertainer'.

"Alhamdulilah… ndugu zangu kijana wenu nimechaguliwa tena kwa tunzo za IRAWMA za Nchini Marekani…kama Mburudishaji bora wa Africa na nyimbo ya #NANA kama Nyimbo Bora ya Africa…kama mnakumbukumbu nzuri mwaka jana tuliweza kuishinda Tunzo hii… ambapo #MdogoMdogo ilishinda kama Nyimbo bora ya Kiafrica na mimi kama Mburudishaji bora wa Africa… InshaAllah,Naamini na mwaka Huu pia itakuja Nyumbani #JonsWeekend ." Ameandika Diamond Instagram.

Nyimbo nyingine zinazoshindanishwa katika kipengele hicho ni "Enemy Solo"ya Awilo Longomba aliowashirikisha P-Square, "Original" ya Fally Ipupa, "Dance 4 Me Remix" ya J.Martins ft. Koffi Olomide na "Garlie O Remix" ya Patoranking ft. Tiwa Savage. Tuzo hizo zitatolewa October 4,2015 huko
Florida, Marekani.

Chanzo: Bongo5

Kumpigia kura ingia hapa ⬇

http://www.martinsinterculture.com/irawma/irawma_vote2015.html
 
Tuzo za kuapply hizi hata ommy dimpoz ameaply kawatumia wanjera wamemuweka kwenye category, so hazina uzito wowote
 
Na mimi namtabiria makubwa zaidi ya hayo kwa7bu amewekeza,na wakati yeye amewekeza kuna kamjamaa fulani kenyewe kalilala leo hii kamefulumuka from no where na kujipa jina lisiloenda na hadhi yake eti kanataka nakenyewe kashindane na aliyewekeza( INAWEZEKANAJE HII HATA KANUNI YA MAISHA HAIKO HIVI HAUWEZI KUVUNA USICHOPANA) eti kisa tu ma- x wa the icon wanamshangilia kwenye page zao za kujiuza.Hadi sasa DIAMOND ameshakuwa nominiiz ktk tuzo kama 5 au 6 ktk hizo keshashinda kama 1 au 2 na ameshapata dili la kutumbuiza ktk tuzo hizo kama 2 au 3 je, haya yanakuja tu kisa kuna MALA........ FULANI WA INSTAGRAM WANAKUSHANGILIA BASI NAWE UTAKUWA JUU ????????? ACHENI ZENU KAAMBIENI KAJAMAA CHENU KAWEKEZE.
 
Tuzo za kuapply hizi hata ommy dimpoz ameaply kawatumia wanjera wamemuweka kwenye category, so hazina uzito wowote

Ha haaa....mkuu nenda tu kwenye siasa..huku utaumia moyo tuu...

Tunazid kupata fulsa za kuvote
 
hakuna namna in kunyoosha tu huwez amini diamond is hittin them switches and gettin haters pumpin and jumpin like crazy '.
 
Tuzo za kuapply hizi hata ommy dimpoz ameaply kawatumia wanjera wamemuweka kwenye category, so hazina uzito wowote

usione uzi unamuongelea diamond lazima uje ujambe, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini diamond anakunyima usingizi?? na kaka aliapply na wakamuaprove si inamaana anaqualify? haters hold on a bit a get a chill pills. huku jf tumeshajua humpendi diamond unaonaje sasa ukabandika plaster hapo usoni ukawa unatembea nayo ili na mtaani kwenu wajue?
 
Back
Top Bottom