Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za THE HEADIES

Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za THE HEADIES

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Hizi ni tuzo kubwa sana za Nigeria, na kwa wasanii wa nje ya Nigeria huwa kunakuwepo category moja kwa watano bora zaidi.. Icon of the Nation again and again

AFRICAN ARTISTE
A non-Nigerian award category for an individual
African artiste or group with the most
outstanding achievement, impact and infiltration into the Nigerian music scene in the year underreview.

1. Diamond Platnumz

2. Cassper Nyovest

3. Sarkodie

4. Uhuru

5. AKA
 
Hizi ni tuzo kubwa Sana Nigeria wakina wiz kid, tiwa savage, olamide, davido, dr sid, Sean tizzle walitokea uku wengine kwa ushindi wengine kwa ushiriki all in all category yao ya best upcoming artist iliwatoa wiz kid, davido na Sean tizzle na wengineo Ina mvuto na ushindani Sana mshindi upatiwa zawadi ya gari jipya ktma wacopy hii kuongeza msisimko pwilo unazipata izi tuzo kweli
 
hakuna atakaempigia kura

Yani comment kama yako ndio zinanifanya niongeze idadi ya watu wa kuwapigia kura kila siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kutisha na tutashinda kama tunavyoshinda siku nyingine mpaka makalio yaote ukoka kusubiri Diamond ashuke

TEAM NON STOP VOTERS FOR KING OF AFROPOP DIAMOND PLATNUMZ

TEAM DIAMOND PLATNUMZ 4EVAAAA
 
Hizi ni tuzo kubwa Sana Nigeria wakina wiz kid, tiwa savage, olamide, davido, dr sid, Sean tizzle walitokea uku wengine kwa ushindi wengine kwa ushiriki all in all category yao ya best upcoming artist iliwatoa wiz kid, davido na Sean tizzle na wengineo Ina mvuto na ushindani Sana mshindi upatiwa zawadi ya gari jipya ktma wacopy hii kuongeza msisimko pwilo unazipata izi tuzo kweli

Kweli tuzo za heshima sana hizi, ndio KTMA yao Nigeria japokuwa yao kisanaa zaidi sio kibabaishaji
 
Kweli tuzo za heshima sana hizi, ndio KTMA yao Nigeria japokuwa yao kisanaa zaidi sio kibabaishaji

Yap kamati Ina watu makini kama DJ jimmy jayt then kuna category zinamuliwa na ma judges sio kura za mashabiki
 
Sema humpigii ila wengine kiroho safi tunapiga mpaka basi safi diamond wenye roho za kwanini hawawezi zuia ridhiki yako hata wakimaliza mate mdomoni.
 
labda akatangaze kwenye jukwaa la ccm kwa ajili ya kupigiwa kura sie wengine atackia kwenye bomba tu!!!! huwez support ccm alafu uje kuomba support kwa wana ukawa!!!
 
Mimi nikajua hata Kufungua thread zenye neno diamond hamuwezi kumbe hakuna lolote mnajilazimisha kumchukia Ili hali mioyo yenu inamzimia msizidhulumu nafsi jamani
Hongera diamond kama Mungu akiandika yes mwanadamu ni nani utakunenea mabaya yatawapata wao, watakuombea mabaya yatawarudia wao, watafanya kila wawezalo kuzima nyota yako bado itang'ara tu.
 
Back
Top Bottom