Diamond amefikisha followers mil 7 leo

Mbona kiba ana8million sema no kimya hapendi showoff
 
Haters wata jambaa [emoji23]maana huyu jamaa ni kama maji vile..kwenye mziki..usipo usikia mtaani utausikia harusini au kwenye birthday kla kona..inama twende sawa!
 
Ndugu,
Unafaidika na nini huyo bwana kufikisha hawa follower..?
Si mtanzania ,wewe ukitokea umekuwa bilionea mm sio furaha kwangu ?diamond ni mtoto wetu Hayo mafanikio analipa Kofi inayojenga barabara,inayosomesha ndugu zako bure kayumba
 
Si mtanzania ,wewe ukitokea umekuwa bilionea mm sio furaha kwangu ?diamond ni mtoto wetu Hayo mafanikio analipa Kofi inayojenga barabara,inayosomesha ndugu zako bure kayumba

Naona hujanielewa.

Kuwa na ghost follower nayo ni mafanikio.? Ni jambo la kulileta hapa jukwaani..!?
Una uhakika gani kama analipa kodi stahiki kwa serikali kama tu thamani alizopewa na DANUBE hakufanya hicho ulichokisema.

Tuache unaaa....!
 
CR7 ana followers 160 mil ujue
hahahah binadamu bana, hakosi njia ya kukufanya ujiskie vibaya. ni sawa na kumwambia rafki ako kaka nimepata kazi leo dah sjaamini,halafu rafki ako anasema yule jamaa ulomaliza nae ana nyota mbili tayari.

hahah dah. we jamaa bana.
 
Naona hujanielewa.

Kuwa na ghost follower nayo ni mafanikio.? Ni jambo la kulileta hapa jukwaani..!?
Una uhakika gani kama analipa kodi stahiki kwa serikali kama tu thamani alizopewa na DANUBE hakufanya hicho ulichokisema.

Tuache unaaa....!
Hiyo ni roho ya kuzimu ikemee,ununahakika gani ni ghost? Kuboresha maisha ya familia take sio jambo zuri ? Mamilioni aliyomtibia yule dada china?Misaada aliyomwaga mbagala na tandale angekuwa teja huko ndo ungempenda? ,mungu amlinde Huyu na awasaidie wanaohangaika wengine watoboe
 
.
 
awe au asiwe na followers mi kwangu sipati faida yoyote ndugu....piga kazi wewe uongeze mtaji then uje jukwaan hapa kutamba
 
Achana naye huyo semenya alikiba mwenyewe tu ashagafikisha zaman sana sema tu jamaa hapend kujionesha wala kujitangaza
Yoooooooooooo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…