Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajaiga yeye ila huenda wameshare director
Mapepe gani aliyokuwa nayo kwenye video Chibu?mbona ile ngoma ilitulia aiseee,Siyo mbaya sema Dada katulia Chibu mapepe mengi kwenye wimbo
Hahaha jamaniDiamond kamnunua Chidma
wakina tiwa savage na yemi alade wajipange kwa huyu bibie. anatengeneza mziki wenye akili sana-Nyimbo nzuri sana
Kuna nyimbo ya chidinma ya muda mrefu inaitwa oh baby you and i amemshirikisha Mr flavour. Itabaki kuwa nyimbo bora sana alizowahi kuimba, idea na uchezaji wake.
Wenzetu wako vizuri sana kwa kuzalisha vipaji vipya,ila huku tupo kwenye kampeni za kumshusha mmoja ili tumpandishe mwingine, na mwingine mwenyewe ni zigo la misumari halibebeki.wakina tiwa savage na yemi alade wajipange kwa huyu bibie. anatengeneza mziki wenye akili sana
Habari wakuu.
Kwa waliopata nafasi ya kucheki video mpya ya msanii wa kike kutoka nigeria Chidinma na wimbo wake wa "Fallen in love" watakubaliana namimi katika hili. Huu wimbo wa bimdada umechukua vikorombwezo na ideas kutoka wimbo wa diamond platinumz "my number one remix".
Kuanzia beat, vionjo mpaka dancing styles zilizopigwa na akina iyobo kwenye ile ngoma ya mondi. Pia video ya mdada imechukua idea aliyoitumia mondi katika shooting ya video ya "nana " aliyomshirikisha diamond (hapa ninamaanisha zile romance za kishuleshule afu wanatoka class wanaanza ku-dance nje).
Ngoma hii ya Chidinma sio siri iko poa na ina-sound fresh kuisikiliza ila kwa asilimia kubwa naona kama huyu bimdada alikuwa motivated kwa kiasi kikubwa na my number one ya mtu mzima chibu(sioni ubaya wowote kuiga vitu vizuri).
Hii inaashiria ni kwa kiasi gani diamond amefanikiwa kupenya ipasavyo pande za west Africa na hii ni ishara njema kuwa sasa mziki kutoka bongo unazidi kupanuka siku baada ya siku. Bravo Diamond Platinumz, Bravo Chidinma!!!
Take your time to watch the video via the link below:
Hamna kitu hapo, mbona amesikika siku nyingi sana ila hasogei popote, anahit moja tu hadi Leo, wenzake wanazo zaidi ya 10wakina tiwa savage na yemi alade wajipange kwa huyu bibie. anatengeneza mziki wenye akili sana
We uoni diamond anavyo jishebedua kwa demu kwenye video kama zuzu kwa demu men must be cool ilitakiwa demu ndo ajishebedueMapepe gani aliyokuwa nayo kwenye video Chibu?mbona ile ngoma ilitulia aiseee,