Diamond ameigwa na mnaijeria huyu?

me hayo sitaki kusikia ...weka Muziki..jamani Darasa huu mwaka wake.. Miziki gani kila mziki wanaimba mapenzi..@[HASHTAG]#MZIKI[/HASHTAG]
 
Siyo mbaya sema Dada katulia Chibu mapepe mengi kwenye wimbo
 
-Nyimbo nzuri sana
Kuna nyimbo ya chidinma ya muda mrefu inaitwa oh baby you and i amemshirikisha Mr flavour. Itabaki kuwa nyimbo bora sana alizowahi kuimba, idea na uchezaji wake.
 
me hayo sitaki kusikia ...weka Muziki..jamani Darasa huu mwaka wake.. Miziki gani kila mziki wanaimba mapenzi..@[HASHTAG]#MZIKI[/HASHTAG]
Asije akajiroga akatengeneza u-team
 
-Nyimbo nzuri sana
Kuna nyimbo ya chidinma ya muda mrefu inaitwa oh baby you and i amemshirikisha Mr flavour. Itabaki kuwa nyimbo bora sana alizowahi kuimba, idea na uchezaji wake.
wakina tiwa savage na yemi alade wajipange kwa huyu bibie. anatengeneza mziki wenye akili sana
 
Wenzetu wako vizuri sana kwa kuzalisha vipaji vipya,ila huku tupo kwenye kampeni za kumshusha mmoja ili tumpandishe mwingine, na mwingine mwenyewe ni zigo la misumari halibebeki.
 
Mm
 
wakina tiwa savage na yemi alade wajipange kwa huyu bibie. anatengeneza mziki wenye akili sana
Hamna kitu hapo, mbona amesikika siku nyingi sana ila hasogei popote, anahit moja tu hadi Leo, wenzake wanazo zaidi ya 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…