Yule kwa sasa ashatengeneza CULT ( Ufuasi msukule (Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
Watu mnachekesha kweli, kijana hafanyi move Bílá plan ndiyo maana katabiliwa kuanguka toka 2010 ila mpaka leo he is still here. Kushabikia siasa Tanzania hakujawahi kumpoteza, miaka yote yuko CCM na bado mashabiki wanaongezeka.Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
Kuna maisha baada ya kila tukio na kila tabia unayojigusisha nayo. Fikiria nafasi yako baadae kila wakati unapofikiria kufanya jambo. Kama mwanamusic mkubwa unaechipukia bila shaka ungetamani la kila mtu kila mdau. Sikumbuki Michael Jackson aliwahi kutumbwiza kwenye kampeni za chama gani na club gani kule Marekani.He doesn't have that autocratic autonomy kindly we are all entitled to different and diverse excuses. Tumuache dogo apige maisha hata CCM Ni fursa kwake na kwa yeyote yule awaye.
Kuna maisha baada ya kila tukio na kila tabia unayojigusisha nayo. Fikiria nafasi yako baadae kila wakati unapofikiria kufanya jambo. Kama mwanamusic mkubwa unaechipukia bila shaka ungetamani la kila mtu kila mdau. Sikumbuki Michael Jackson aliwahi kutumbwiza kwenye kampeni za chama gani na club gani kule Marekani.
Azam Ina mashabiki wangapi? Kila shabiki wa Azam Ni anashabikia pia Simba au YangaAlikiba nae na kajificha kwenye mgongo wa azam fc.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa Sana tena Sana, lakini Kama msanii lazima uwe na insight kuwa Kuna kundi utalikwaza ambalo unalihitaji Sana pia kwenye kazi na maisha yako pia, japo hata kwa kubeba jeneza lako siku Mungu akikupenda zaidi.Hebu chakata vizuri comments zangu zote kuhusu hili upo mlango wa kumpa excuse.