Diamond amejibana kwenye Kona ya CCM na Simba

Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba

Acheni unafiki na uchawi kuna customisation, kuna captivity, kuna hiari, kuna mazingira, kuna kulazimishwa, kwa muda, kudumu na mengineyo think big pls, Diamond is a little boy, the system is all over je yeye awe nani!?
 
Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba

He doesn't have that autocratic autonomy kindly we are all entitled to different and diverse excuses. Tumuache dogo apige maisha hata CCM Ni fursa kwake na kwa yeyote yule awaye.
 
Watu mnachekesha kweli, kijana hafanyi move Bílá plan ndiyo maana katabiliwa kuanguka toka 2010 ila mpaka leo he is still here. Kushabikia siasa Tanzania hakujawahi kumpoteza, miaka yote yuko CCM na bado mashabiki wanaongezeka.
Kuimbia simba siyo tatizo kwani kuna wasanii wangapi wanajulikana kwamba ni mashabiki wa simba na wengine wa Yanga je kumewapoteza?
Vipi yule aliyeamua kuwa mchezaji kabisa wa timu?
 
He doesn't have that autocratic autonomy kindly we are all entitled to different and diverse excuses. Tumuache dogo apige maisha hata CCM Ni fursa kwake na kwa yeyote yule awaye.
Kuna maisha baada ya kila tukio na kila tabia unayojigusisha nayo. Fikiria nafasi yako baadae kila wakati unapofikiria kufanya jambo. Kama mwanamusic mkubwa unaechipukia bila shaka ungetamani la kila mtu kila mdau. Sikumbuki Michael Jackson aliwahi kutumbwiza kwenye kampeni za chama gani na club gani kule Marekani.
 
Hebu chakata vizuri comments zangu zote kuhusu hili upo mlango wa kumpa excuse.
 
Nimekuelewa Sana tena Sana, lakini Kama msanii lazima uwe na insight kuwa Kuna kundi utalikwaza ambalo unalihitaji Sana pia kwenye kazi na maisha yako pia, japo hata kwa kubeba jeneza lako siku Mungu akikupenda zaidi.

Mfano, Kama CCM Mungu apishie mbali ikidondoshwa na lissu 2020 utasema Nini? Je, wale mashabiki wa lissu, membe, Rungwe, Chadema, ACT na NCCR tunaowaona kule Tunduma, Njombe, Mbeya, nk hawawahitaji?
 
Kikubwa ni kuingiza pesa.Yanga awana pesa,ukija kwa wapinzani pia awana pesa.
Yule kijana anatafuta pesa tu.
CCM inaserikali na wanapesa na Simba ni serikali na wanapesa pia,sasa hapo angoje nini.
"Utopolo na Kibakuli fans mtapigwa shoti sana mwaka huu"
 
Back
Top Bottom