Niambie msanii mkubwa aliyewahi kufanya hivyo, labda ana malengo ya kuacha Sanaa na kuingia siasa.Kikubwa ni kuingiza pesa.Yanga awana pesa,ukija kwa wapinzani pia awana pesa.
Yule kijana anatafuta pesa tu.
CCM inaserikali na wanapesa na Simba ni serikali na wanapesa pia,sasa hapo angoje nini.
"Utopolo na Kibakuli fans mtapigwa shoti sana mwaka huu"
Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
Kweli kabisaHata CCM na Simba sio wachache kwa kazi zake, wanamtosha Sana.
Jay Z,Beyonce wanashiriki mara kibao kampeni za Democratic mpaka wanafikia hatua ya kuchangia.Kuna maisha baada ya kila tukio na kila tabia unayojigusisha nayo. Fikiria nafasi yako baadae kila wakati unapofikiria kufanya jambo. Kama mwanamusic mkubwa unaechipukia bila shaka ungetamani la kila mtu kila mdau. Sikumbuki Michael Jackson aliwahi kutumbwiza kwenye kampeni za chama gani na club gani kule Marekani.
Kumbuka pia Siyo mashabiki wote wa Simba ni wanaCCM.Hata CCM na Simba sio wachache kwa kazi zake, wanamtosha Sana.
Kule wanashiriki siasa kuleta changes siyo kutsfuta pesa wala kukinda maslahi yako.Jay Z,Beyonce wanashiriki mara kibao kampeni za Democratic mpaka wanafikia hatua ya kuchangia.
Tatizo lenu mmechagua demokrasia bila kujua maana yake,Diamond nae ni raia kama ww ana haki ya kukichagua chama na timu aipendayo kama wewe.
Jay Z ni Democratic vile vile fan wakutupwa wa Brooklyn Nets (mpaka kufikia hatua ya kuwekeza) na still bado akitoa album kabla ya wiki inagonga Platinum.
Changes kila mtu ana mtizamo wake na ndio Demokrasia kila mtu ana definition yake.Kule wanashiriki siasa kuleta changes siyo kutsfuta pesa wala kukinda maslahi yako.
Hata John Legend anashiriki sana na kudonate pesa kwa wanasiasa.
Tanzania mwenye pesa na madaraka anamgeuza msanii atakavyo.
2015 huyo Diamond alimpigia kampeni Lowassa, alivyoona kakatwa akampigia kampeni Magufuli. Ni pesa yako
Siku aliyopelekewa kodi ya milioni 35 akajilizaliza ( kupitia JAHAZI ) kwamba atasusa🤣🤣.
Wakati jeuri hiyo hana
Wala mimi sijamaanisha changes mpaka ahame chama.Changes kila mtu ana mtizamo wake na ndio Demokrasia kila mtu ana definition yake.
Yeye kwa iman yake ana amini changes zitapatika kupitia CCM ndio siasa.
So huwezi kumchagulia wala kumpangia,yy kishaamua,wengine nao wanaweza wakaamini changes zinapatikana kupitia Hashim Rungwe.
Kwa waliokuwa CCM,they do it for money?Wala mimi sijamaanisha changes mpaka ahame chama.
Ninachoongelea hapa ni yeye kufanya chochote for the sake of 💰
Wako tayari kumpigia magoti kila mwenye pesa na madaraka.
Hawana self principles.
Hata wakionewa na BASATA watajilizaliza tu nyuma pazia .
Na BASATAwalikuwa masikini ila sasa walishawajulia, wakatunga na kanuni za kimungu mtu wanajipigia mipesa tu.
Ungekuwa na unajua abc za uhasibu wala usingeshangaa mambo ya hati chafu.Kwa waliokuwa CCM,they do it for money?
Vyama vingine,ndio wana misimamo,sababu hawafanyi kwa ajili ya pesa? Manake kuna vyama vingine kila siku kwa CAG wanapata hati chafu.
Kwani ukiwa ndani ya CCM huwezi kuipinga BASATA,mbona MONDI alishawahi kupinga maamuzi ya BASATA live,mpaka Mwakyembe na Shonza wakaongea nae.
Kupinga unaweza ukakkubalia au ukakataliwa?Ila ume kionyesha kila ulicho kiamini na ulikisimamia.Ungekuwa na unajua abc za uhasibu wala usingeshangaa mambo ya hati chafu.
Pili unasema alipinga maamuzi ta BASATA kwahiyo nyimbo zake zilifunguliwa ?
Anyways ukiachana na masuala ya pesa, anaowaabudu hata wakifanya nini haoni tatizo.Kupinga unaweza ukakkubalia au ukakataliwa?Ila ume kionyesha kila ulicho kiamini?
Hapo kwenye ABC ndio wajanja wanapo patumia kupiga hela?
Anao waabudu akina nani?Anyways ukiachana na masuala ya pesa, anaowaabudu hata wakifanya nini haoni tatizo.