Diamond amepiga marufuku nyimbo za Harmonize kupigwa Wasafi FM

Ney wa Mitego nazionaga, I'm not sure abt FA

Sent using Jamii Forums mobile app

Wasafi Fm.....uko wasafi Tv hakuna waangaliaji wengi.....kuna shida ndani ya wasafi Fm nimefanya utafiti muda mrefu.....wameanza kutumia radio yao kama fimbo


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hata nyimbo za Best Naso nazo hawapigi, hawa jamaa washakuwa Ruge sasa hivi. Noma sana.
 
Lazima anune dogo kawa balozi wa CRDB deal ya mabilioni hata wewe utamchekea🤣😂😃
 
Harmonize alijitahidi sana kuwaona wasafi kama family japo alijitenga ,,,lakini wasafi wamekuwa wakimdiss na kumwona kama adui ,, hadi ilipofika nayeye akachoka kujibembelezea na kuwa jeuri,,,

Mi naona hakuna wa kulaumiwa kati yao,,,, sababu ni kwamba music ni biashara na wafanyabiashara wana tabia za kuzibiana,,,,
Tuwaache waendelee na struggle zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata siku ya uzinduki wa album ya Afro East hakukuwa hata na mtangazaji mmoja kutoka Wafasi Media wala hawajawahi kuiongelea hiyo.

Baada ya kuonaa uzinduzi umefana, Diamond KINAFIKI akaamua KUJIKOSHA kwa UMMA kwa kuiposti.

Ila Kijamaa Kina Uswahili Na Roho Mbaya Za Kichinichini.
 
Nyinyi si mnasema wasafi media Ni ya kusaga diamond yupo pale Kama kivuli sasa inakuaje unamlaumu diamond kutopeleka wasafi media pale kwenye uzinduzi wa Harmonize?
 
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafi media walialikwa wakakataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…