Shite boss
Senior Member
- Feb 18, 2018
- 167
- 201
Yani wewe ni mchawi kabisaa...
Diamond kapakimbia Nyumbani lini!??
Katika media tour alizofanya Mbosso, alienda pia EFM. Binafsi sijajua kama kuna bifu hapa, labda Mond atakuwa na sababu zake nyingine.Mobeto X wake...
Jamaa kaweka bifu na wote mpaka kina lavaLava....hakuna ngoma ya WCB inachezwa pale.
Niambie sasa hivi ni wasanii gani wanashow nyingi hapa bongoMimi ni shabiki wa wasanii wa WCB esp Diamond ila ukweli mchungu WCB hadi sasa wameloose sana kwenye hii bifu hasa upande wa hawa wasanii wapya Lavalava na Maromboso, hata hao wakongwe sioni kama wanashow nyingi kama zamani kwa hapa bongo
acheni hizo majizo sio kisa dem mbona waliachana kitamboo pekueni mjueHahaha huyu naye anatia aibu, afadhali wenzao wana sababu za kueleweka (maslahi)
Mimi ni shabiki wa wasanii wa WCB esp Diamond ila ukweli mchungu WCB hadi sasa wameloose sana kwenye hii bifu hasa upande wa hawa wasanii wapya Lavalava na Maromboso, hata hao wakongwe sioni kama wanashow nyingi kama zamani kwa hapa bongo
Hahah kwahio kamaindi kugongewa na mzazi mwenzie!Mobeto X wake...
Jamaa kaweka bifu na wote mpaka kina lavaLava....hakuna ngoma ya WCB inachezwa pale.
Hapo kwa e-fm labda kama usikilizi mkuu kila leo wanacheza nyimbo zake leo nimesikia wimbo wake hata jana kwenye kipindi cha uhondo na vingine....kwa E-fm unawaonea hata Diamond amesema kwenye interview yake times fm kuwa ni media mbili azichezi nyimbo zake ....ni majuzi tuu MAROMBOSO alikuwa E-fmMobeto X wake...
Jamaa kaweka bifu na wote mpaka kina lavaLava....hakuna ngoma ya WCB inachezwa pale.
IPP MEDIA
CLOUDS MEDIA GROUP
E MEDIA... FM @ TV
na vimedia taka vingine vinavyofuata mkumbo
Mimi nawaambia. Kwamba Mungu ataendelea kumsimamia na kumuinua kijana huyu.
Wote tunajua historia yake. Mtafeli nyinyi. Mungu awape maisha marefu muendelee shuhudia mafanikio ya JUHUDI.
View attachment 726439
Unamuongelea Mungu yupi?IPP MEDIA
CLOUDS MEDIA GROUP
E MEDIA... FM @ TV
na vimedia taka vingine vinavyofuata mkumbo
Mimi nawaambia. Kwamba Mungu ataendelea kumsimamia na kumuinua kijana huyu.
Wote tunajua historia yake. Mtafeli nyinyi. Mungu awape maisha marefu muendelee shuhudia mafanikio ya JUHUDI.
View attachment 726439
Bongo ukifanikiwa unapondwa waziwazi ....
....Ndio akili za wabongo hizi wala sishangai..........Siku zote anaye jua ana jua tu majungu hayana nafasi ya kumuangusha ...............Trust me Diamond ndio kaitangaza Tanzania kimataifa tena kwa struggle zake binafsi ................Bila hivyo tuendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kama kwenye michezo tulivyo .............Ndo maana inasekekana 90 % ya waTanzania ni wachawi........Shwain kabisa.........Halafu mitandao imechange sana Game .........Mi nina mwaka wa 10 huu sijasikiliza redio au kuangalia upuuzi wa TV sijui na Takataka gani sioni la maana kwa media zetu hizi za bongo ni upuuzi tu ................We are lagging too far behind our neighbouring countries when comes to Media ( Radio and Televisions stations )
Huna ulijualo ndo maana unapinga. Hivi umeenda nchi gani wanayoijua Tz?unaumwa mavi. diamond ndio kaitangaza tanzania kimataifa. tanzania inajulikana kimataifa kabla ya diamond hajazaliwa- mataifa ya nje yanaijua tanzania 1. wanamjua nyerere kwa siasa yake bora-2- wanaijua kwa ziwa victoria ni ziwa kuu -3- tuna mbuga za wa nyama -4- tuna mlima mkubwa kilimanjaro ni wa pili duniani-5- amani na utulivu-6-tuliwakombowa south africa zimbabwe msumbiji -7- waliijua kupitia mwanamuziki mbaraka mwishehe alipokwenda japan kwenye maonyesho ya ulimwengu na alipata sifa sana-8-wakina mzee morrisi na ngoma za taifa hukohuko japan: nenda kasikilize nyimbo ya mbaraka mwishehe ya maonyesho japan- diamond kaimba nyimbo gani ya kuisifia tanzania- anashindwa na waimbaji wa zamani