Diamond ametengwa na Media Kuu Tatu nchini... Ila Mungu yupo..

Diamond ametengwa na Media Kuu Tatu nchini... Ila Mungu yupo..

Nyie mashabik mnaz muache kulialia
Huyo mtt amelelewa na

Ipp mida
Clouds
Efm

Sasa anapoleta kibur
Lazma afunzwe adabu
Mtt Kwa mama hakui
 
mmmh kweli mtoto wa mama ni wa mama tu, mbona Roma kafungiwa na hakuna aliyemwonea huruma ama kubeza manenao maneno ety kaonewa, kila mtu anavuna sawa sawa na alichokipanda. SHIKAMOOOO SERIKALI
 
thamani ya chupa ni kile kilichomo ndani na sio chupa , so acha apokee shukrani tena bora anyamaze tu maaana waliotumika enzi hizo ni wengi na kumbukumbu zao hajulikane tena , NIMECHOKA KUPOTEZA TIME PII-PII HATUELEWANI
 
Mobeto X wake...

Jamaa kaweka bifu na wote mpaka kina lavaLava....hakuna ngoma ya WCB inachezwa pale.
Katika media tour alizofanya Mbosso, alienda pia EFM. Binafsi sijajua kama kuna bifu hapa, labda Mond atakuwa na sababu zake nyingine.
 
Mimi ni shabiki wa wasanii wa WCB esp Diamond ila ukweli mchungu WCB hadi sasa wameloose sana kwenye hii bifu hasa upande wa hawa wasanii wapya Lavalava na Maromboso, hata hao wakongwe sioni kama wanashow nyingi kama zamani kwa hapa bongo
Niambie sasa hivi ni wasanii gani wanashow nyingi hapa bongo
 
Mimi ni shabiki wa wasanii wa WCB esp Diamond ila ukweli mchungu WCB hadi sasa wameloose sana kwenye hii bifu hasa upande wa hawa wasanii wapya Lavalava na Maromboso, hata hao wakongwe sioni kama wanashow nyingi kama zamani kwa hapa bongo

Toka mwaka huu uanze sijaona show zozote za maana Kwa wasanii wa bongo zaidi ya show Za wasanii kutoka wasafi. Sijasikia Kiba wala mwingine yoyote anafanya show ukiskia show basi ni harmonize au mavoko au rayvanny... wcb walioathirika na hii bifu ni mbosso na lavalava sababu bado wadogo.
 
Mungu!!!!!! Kwani anaimba nyimbo za kumtukuza Mungu?
 
Mobeto X wake...

Jamaa kaweka bifu na wote mpaka kina lavaLava....hakuna ngoma ya WCB inachezwa pale.
Hapo kwa e-fm labda kama usikilizi mkuu kila leo wanacheza nyimbo zake leo nimesikia wimbo wake hata jana kwenye kipindi cha uhondo na vingine....kwa E-fm unawaonea hata Diamond amesema kwenye interview yake times fm kuwa ni media mbili azichezi nyimbo zake ....ni majuzi tuu MAROMBOSO alikuwa E-fm
 
IPP MEDIA

CLOUDS MEDIA GROUP

E MEDIA... FM @ TV

na vimedia taka vingine vinavyofuata mkumbo

Mimi nawaambia. Kwamba Mungu ataendelea kumsimamia na kumuinua kijana huyu.

Wote tunajua historia yake. Mtafeli nyinyi. Mungu awape maisha marefu muendelee shuhudia mafanikio ya JUHUDI.
View attachment 726439

uchungu kwa diamond na dua zote kwa ajili yake . pole sana naona anakusaidia kimaisha ndio maana una uchungu . kunywa maji ya bahari uondoe uchungu -
 
Amelewa umaarufu dogo..ashawah sema siku hz hategemei media hata youtube inamtosha..kazkaz
 
IPP MEDIA

CLOUDS MEDIA GROUP

E MEDIA... FM @ TV

na vimedia taka vingine vinavyofuata mkumbo

Mimi nawaambia. Kwamba Mungu ataendelea kumsimamia na kumuinua kijana huyu.

Wote tunajua historia yake. Mtafeli nyinyi. Mungu awape maisha marefu muendelee shuhudia mafanikio ya JUHUDI.
View attachment 726439
Unamuongelea Mungu yupi?

Yaani Mungu asapoti hizo show za wanawake kucheza nusu uchi?
Mungu asapoti mtu anayeimba kwenye kumbi zenye pombe na maasi mengine?
Kwanza kwa imani ya Diamond,hicho anachokifanya hakikubaliani na dini yake kabisaa,halafu huyo huyo Mungu eti amuinue!!!
 
Bongo ukifanikiwa unapondwa waziwazi ....
....Ndio akili za wabongo hizi wala sishangai..........Siku zote anaye jua ana jua tu majungu hayana nafasi ya kumuangusha ...............Trust me Diamond ndio kaitangaza Tanzania kimataifa tena kwa struggle zake binafsi ................Bila hivyo tuendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kama kwenye michezo tulivyo .............Ndo maana inasekekana 90 % ya waTanzania ni wachawi........Shwain kabisa.........Halafu mitandao imechange sana Game .........Mi nina mwaka wa 10 huu sijasikiliza redio au kuangalia upuuzi wa TV sijui na Takataka gani sioni la maana kwa media zetu hizi za bongo ni upuuzi tu ................We are lagging too far behind our neighbouring countries when comes to Media ( Radio and Televisions stations )

unaumwa mavi. diamond ndio kaitangaza tanzania kimataifa. tanzania inajulikana kimataifa kabla ya diamond hajazaliwa- mataifa ya nje yanaijua tanzania 1. wanamjua nyerere kwa siasa yake bora-2- wanaijua kwa ziwa victoria ni ziwa kuu -3- tuna mbuga za wa nyama -4- tuna mlima mkubwa kilimanjaro ni wa pili duniani-5- amani na utulivu-6-tuliwakombowa south africa zimbabwe msumbiji -7- waliijua kupitia mwanamuziki mbaraka mwishehe alipokwenda japan kwenye maonyesho ya ulimwengu na alipata sifa sana-8-wakina mzee morrisi na ngoma za taifa hukohuko japan: nenda kasikilize nyimbo ya mbaraka mwishehe ya maonyesho japan- diamond kaimba nyimbo gani ya kuisifia tanzania- anashindwa na waimbaji wa zamani
 
Huna ulijualo ndo maana unapinga. Hivi umeenda nchi gani wanayoijua Tz?

Kuna mahali nimeenda kuitambulisha Tz ni kazi sana.

Anyway, nyimbo nasikilizia kwa phone, nikiwa kwenye gari natumia flush au Mp3 so clouds haina msaada wala ITV wala Efm
 
Back
Top Bottom