Diamond ametengwa na Media Kuu Tatu nchini... Ila Mungu yupo..

Diamond ametengwa na Media Kuu Tatu nchini... Ila Mungu yupo..

Bongo ukifanikiwa unapondwa waziwazi ....
....Ndio akili za wabongo hizi wala sishangai..........Siku zote anaye jua ana jua tu majungu hayana nafasi ya kumuangusha ...............Trust me Diamond ndio kaitangaza Tanzania kimataifa tena kwa struggle zake binafsi ................Bila hivyo tuendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kama kwenye michezo tulivyo .............Ndo maana inasekekana 90 % ya waTanzania ni wachawi........Shwain kabisa.........Halafu mitandao imechange sana Game .........Mi nina mwaka wa 10 huu sijasikiliza redio au kuangalia upuuzi wa TV sijui na Takataka gani sioni la maana kwa media zetu hizi za bongo ni upuuzi tu ................We are lagging too far behind our neighbouring countries when comes to Media ( Radio and Televisions stations )
 
Ukifanikiwa lazima uchukiwe,hivyo haishangazi. Jambo la kujifunza tu nikuwa hakuna msanii amewahi kuwa international kwa msaada wa hizo media,wanao wasapoti wamebaki walipo mpaka Leo. Wanaongoza kwa watangazaji wenye roho mbaya
1. Dullah-eatv radio
2. Gerald hando-,efm
3.qwisa-clouds TV.etc
 
kwa
huwa sisikii redio, siangalii tv mimi hbr napata humu jf mziki nachukua you tube so i dont care kama kuna mabifu ha hamna[/QUOT

kwa bando lako la chuo la 500 unasoma habari, unapakua miziki ya wasanii hata wa5 youtube hebu wagawanishe hiyo jero yako halafu ujiulize inawatosha au hujui kama mziki ni ajira yao?

siungi mkono mond kutengwa lkn naamini bado anazihitaji media, lkn isiwe sababu ya yeye kukubali kunyonywa afanye nao mazungumzo yenye tija kwa pande zote mbili.
 
Mimi ni shabiki wa wasanii wa WCB esp Diamond ila ukweli mchungu WCB hadi sasa wameloose sana kwenye hii bifu hasa upande wa hawa wasanii wapya Lavalava na Maromboso, hata hao wakongwe sioni kama wanashow nyingi kama zamani kwa hapa bongo
Utaambiwa wanafanya show za kimataifa
 
hv huyo dogo aliwafanya nn hao medias mana mi ni msikilizaj zaid wa EA radio ila sijawah sikia nyimbo ya huyo dogo ikipgwa uko
EA radio wanamuonyesha kua wao walianza biashara yao kitambo wkt diamond anauza maji/mitumba huko tandale na wala hawatetereka kwa kutokupiga nyimbo zake.
 
Mobeto X wake...

Jamaa kaweka bifu na wote mpaka kina lavaLava....hakuna ngoma ya WCB inachezwa pale.
Kwani diamond kaanza toka na mobeto leo.
Kulikuwa na rumours kuwa diamond anatoka na mobeto muda tu, kwa jinsi unavyomfahamu majizo unadhani hakuwa na uhakika kuwa ni kweli jamaa anamla mzazi mwenzake hata kabla ya mobeto kubeba mimba?
Na kipindi chote walikuwa wanapiga nyimbo zake kama kawaida.
Ingekuwa CMG tu au redio moja hapo sawa sasa redio tatu kuna kila sababu ya kujitafakari pia huenda kuna mahali pia anakosea...
There is always a rise before a fall....
Namkubari sana jamaa na hustles zake ila ugomvi hauna afya sometimes ni afadhali kuepuka ugomvi kama inawezekana
 
Kati ya Diamond na Raia wa Syria nani yupo ktk wakati mgumu unaostahili Mungu kuwa upande wao? Wananchi hasa watoto wa Syria wamemkosea nini Mungu hata wawe jehanamu ya hapahapa duniani? Ungekuwa wewe Mungu ungeweza ungemsaidia nani kwanza?
Umeongea kwa kutumia akili kubwa sana mkuu inayodhihilisha u great th...
 
Mbona mnalialia kama vitoto vya kambo,mmesema Diamond ni mkubwa kuliko hizo media ila kila siku mnapiga kelele ni vema mkiamua moja kati ya haya kukaa kimya au kuwafuata hao wabaya wenu mumalize tofauti maisha yaendelee
Yaani mnasumbua
mtadhani ni wageni wa music industry hii haijaanza kwa Diamond wasanii wengi wamepitia minyukano na media house wapo wasanii wakubwa na wadogo ila maisha yaliendelea acheni vilio kama watoto wa kike komaeni kumtangaza msanii wenu kwa namna nyingine maana tushachoka kelele zenu sasa.
 
IPP MEDIA

CLOUDS MEDIA GROUP

E MEDIA... FM @ TV

na vimedia taka vingine vinavyofuata mkumbo

Mimi nawaambia. Kwamba Mungu ataendelea kumsimamia na kumuinua kijana huyu.

Wote tunajua historia yake. Mtafeli nyinyi. Mungu awape maisha marefu muendelee shuhudia mafanikio ya JUHUDI.
View attachment 726439
Mond ndo kajitenga na hizo media baada ya kujiona yeye ni mkubwa kuliko media.

Mbali ya kujitenga na media, pia mond amejitenga na watanzania baada ya kujiona yeye ni mkubwa kuliko show za nyumbani.

Kuna msemo wasemao wahenga kuwa "nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani"
Lakini bwana mdogo huyu, yeye ameona apakimbie nyumbani maana hapamfai huku akisahau kuwa bila support ya wanakaya asingekua papa
 
Bongo ukifanikiwa unapondwa waziwazi ....
....Ndio akili za wabongo hizi wala sishangai..........Siku zote anaye jua ana jua tu majungu hayana nafasi ya kumuangusha ...............Trust me Diamond ndio kaitangaza Tanzania kimataifa tena kwa struggle zake binafsi ................Bila hivyo tuendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kama kwenye michezo tulivyo .............Ndo maana inasekekana 90 % ya waTanzania ni wachawi........Shwain kabisa.........Halafu mitandao imechange sana Game .........Mi nina mwaka wa 10 huu sijasikiliza redio au kuangalia upuuzi wa TV sijui na Takataka gani sioni la maana kwa media zetu hizi za bongo ni upuuzi tu ................We are lagging too far behind our neighbouring countries when comes to Media ( Radio and Televisions stations )
Nilimsikiliza dogo kwenye interview moja hivi ameongea media nyingi zinaamini bila wao wasanii hawawezi kutoka na yeye kama yeye anajitahidi sana kuwa mnyenyekevu kwa media ila tatizo linakuja kama binadamu kunakutofautiana na mtangazaji mmoja ama wawili lakini wao watu wa media wanakimbilia kuweka ugomvi wa kitaasisi na msanii.

Akatoa mfano radio moja huwa inafanya matamasha walimwomba Hamonize awa support bure na yeye bila kinyongo akawapa Hamonize ila ili kulinda brand ya msanii wake akawaambia wamchukue dogo bure ila hiyo radio angalau igharamie nguo na kulipa madensa wa Hamonize maana pale ananogesha hiyo shughuli lakini pia dogo kama brand anajimaintain (wakatoka hapo wakasema jamaa kakataa na tayari likawa bifu)
 
Kati ya Diamond na Raia wa Syria nani yupo ktk wakati mgumu unaostahili Mungu kuwa upande wao? Wananchi hasa watoto wa Syria wamemkosea nini Mungu hata wawe jehanamu ya hapahapa duniani? Ungekuwa wewe Mungu ungeweza ungemsaidia nani kwanza?
Duh!!!
 
Mond ndo kajitenga na hizo media baada ya kujiona yeye ni mkubwa kuliko media.

Mbali ya kujitenga na media, pia mond amejitenga na watanzania baada ya kujiona yeye ni mkubwa kuliko show za nyumbani.

Kuna msemo wasemao wahenga kuwa "nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani"
Lakini bwana mdogo huyu, yeye ameona apakimbie nyumbani maana hapamfai huku akisahau kuwa bila support ya wanakaya asingekua papa
Yani wewe ni mchawi kabisaa...
Diamond kapakimbia Nyumbani lini!??
 
Back
Top Bottom