Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Diamond Sawa, ila Rommy duh!
Kwa hiyo kumbe ile sio rangi yake Rommy??
Mkuu nitake radhi aisee, wajua Rommy wa sasa ana rangi kama yako?ndio rangi yake,hii ni picha tu ya kizamani
Ahahaa uyo diamond!!
Mkuu nitake radhi aisee, wajua Rommy wa sasa ana rangi kama yako?
Sasa inawezekana hata wewe zamani Ulikua na rangi kama ya hii Picha?
Ila inawezekana aisee, maana hata Rich Mavoko wa sasa sio yule wa zamani!
Diamond Sawa, ila Rommy duh!
Kwa hiyo kumbe ile sio rangi yake Rommy??
Hawa vijana wanaonekana walikuwa wanapendana tangu zamani.
:eyebrows::eyebrows: kwani na wewe ni nani hapa nchini?Rommy ni nani hapa nchini
logically kila mtu ametoka mbali, ni kwa Neema tu