Diamond ametoka mbali, Shuhudia hapa akiwa na Rommy Johnson

Diamond ametoka mbali, Shuhudia hapa akiwa na Rommy Johnson

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
images

hapo hana ata ndoto kama atakuja kanyaga warembo wa mjini
 
Diamond Sawa, ila Rommy duh!
Kwa hiyo kumbe ile sio rangi yake Rommy??
 
bila shaka na huyo alolala ndo bibi yake alomtanguliza kwe dini ya wavaa suti
 
ndio rangi yake,hii ni picha tu ya kizamani
Mkuu nitake radhi aisee, wajua Rommy wa sasa ana rangi kama yako?
Sasa inawezekana hata wewe zamani Ulikua na rangi kama ya hii Picha?
Ila inawezekana aisee, maana hata Rich Mavoko wa sasa sio yule wa zamani!
 
niliona picha zake nyingine alipokuwa mdogo ndio rangi yake

diamnd.jpg
 
Hawa vijana wanaonekana walikuwa wanapendana tangu zamani.
 
Back
Top Bottom