Diamond amewakomesha wambeya

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Tuliwaambia tokea mwanzo Diamond leo hata zungumzia mahusiano yake. Wambeya wengi leo wameumbuka wametumia MB's zao kwa lengo la kumsikiliza Diamond kuhusiana na tetesi zinazoenea kuhusu kuachana na Tanasha.

Diamond hajazungumzia kabisa mahusiano yake na Tanasha badala yake ametambulishwa kuwa ambassador wa kampuni kubwa ya kupaka rangi ya Coral Paints na kuelezea ubora wa bidhaa hiyo.
 
Mkuu kwani si mkutano wake tangu awali ulijulikana kuwa anapewa ubalozi? Na wameanza kuongea watu wengi kabla yake?

Mkutano huu na Tanasha anaingiaje hapa? Usijekukuta unawasema wenzako kumbe na wewe ni walewale

Diamond kaisha achana na Tanasha, tangu lini anawajibika kuwaambia watu? Tume ya taifa ya uchaguzi ndio ilimpa Tanasha?
 
Inamaana mmakonde hawamuoni...?
Ko mwenzake atangazage juice tyu..?
Aache roho mbaya awagawie na wenzake bhana
 
Ungekuwa upo insta na mitandao mingine ungeona namna gani watu wametengeneza attention ya kutaka kujua diamond atasemaje kuhusu mahusiano yake pamoja na hizo media zilizokuwepo kwenye press conference hata humu Kuna mtu alianzisha thread na kusema leo diamond atafunguka kuhusu mahusiano yake na maswali yaliyoulizwa kwenye hiyo press nipamoja na tetesi zinazoenea kuhusu diamond kuachana na tanasha na diamond akakataa kujibu.
 

Yaani watu wanaumwa umbeya nchi hii

Hakutakiwa kuulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…