Tuliwaambia tokea mwanzo Diamond leo hata zungumzia mahusiano yake. Wambeya wengi leo wameumbuka wametumia MB's zao kwa lengo la kumsikiliza Diamond kuhusiana na tetesi zinazoenea kuhusu kuachana na Tanasha.
Diamond hajazungumzia kabisa mahusiano yake na Tanasha badala yake ametambulishwa kuwa ambassador wa kampuni kubwa ya kupaka rangi ya Coral Paints na kuelezea ubora wa bidhaa hiyo.