Diamond amfumua zari , amwambia amuige hamisa ku move on ...

Ahahahah lol
serious,
kuna namna nimeregister akilini mwangu sauti yako!
and huwa inakuja hiyo kila ukiwa unatupa umbea kwa kutushushua!
hakiiii huwa nachekaaa!
LONG LIVE BINAMU!
me love u muchoooo, na unajua!
 
wewe ni mwanamke no doubts

 
serious,
kuna namna nimeregister akilini mwangu sauti yako!
and huwa inakuja hiyo kila ukiwa unatupa umbea kwa kutushushua!
hakiiii huwa nachekaaa!
LONG LIVE BINAMU!
me love u muchoooo, na unajua!

Love you more binamu, aaaaah ahsante sana
 
Just move on,
kublock mtu kisa kalike picha ya mtoto na hatoi matumizi wakati unalala na kujamba kwenye nyumba yake huo ni ushamba.
 
Mambo ya wawili waliozaa watoto wawili sio mambo ya kuyazungumzia kiuepesi wepesi, yangekuwa mepesi wasingeachana maana hakuna anaependa kuachana, hii ni hatua mbaya na ya mwisho ktk mahusiano.
 
Mtoto Wa diamond ni mmoja mwingine wa Ivan

Ila wanaume wanajua kuficha mengi diamond ana mengi moyoni.
 
Nonsense!!!
 
Watoto wake???🤔
Atakua kapewa ukweli akajikata.
 
Just move on,
kublock mtu kisa kalike picha ya mtoto na hatoi matumizi wakati unalala na kujamba kwenye nyumba yake huo ni ushamba.

Daudi, I thought you are way smarter than this , kwa hiyo malezi its all about money and material things for you si ndio? Even the father is not physical present to eye his kids is no more valuable? Eish , I’m done with millennials ... so kwako we malez ni kujengea nyumba watoto bas then watajijua wenyewe?


All in all Zari is a well established woman , we all know that , Zari hana njaa ndo maana humkuti aki beg pesa coz anajiweza unlike hamisa

Tell diamond to move on and stop mentioning Zari on each interview , aache genye bwana, Kwan tanasha hampi Kiki? Si amuongelee tanasha basi
 
Mtoto Wa diamond ni mmoja mwingine wa Ivan

Ila wanaume wanajua kuficha mengi diamond ana mengi moyoni.

Ebu usinichekeshe, wa kuwa na mengi moyon Nani ? Labda diamond mwingine sio huyu tunayemjua, hivi Kwan Yule anakifua cha kuweka maneno kifuan? Kama wamama za watoto wake anawadhalilisha uchawi na mwingine anamwambia aja move on wakat she is living her life
 
Kwani kakosea wapi?Zari akubali kumove on!

Amove on kivip? Kwan Zari alishawhi mpigia simu diamond ? Hivi kati y Zari na diamond Nani haja move on? Diamond is dating tanasha, hvi haon anamfanya mpenz wake ajisikie inferior towards Zari , kila Siku interview ni Zari tu khaa[emoji23][emoji23][emoji23], mwanamke na nyota zake bhana, muachen Zari
 
sasa ukiblock mtu insta ndiyo ataleta pesa za matumizi???

huyo bibi anaforce jamaa aende kumpiga dudu.

Move one na maisha.
 
sasa ukiblock mtu insta ndiyo ataleta pesa za matumizi???

Move one na maisha.

Sasa Kwani what is insta? [emoji23][emoji23], so siku hzi malezi ya watoto yapo insta binamu? Khaa Leo umenivunja mbavu... well just tell your cousin to stop mentioning Zari kwenye interview zake bhana , tell him to move on ... unajua how Zari feels right now ? Kuwa diamond is not diamond without her , Kwa nini asiongelee kuhus tanasha and his coming mtoto? Coz she doesn’t Kiki eeh?

If you have moved on , you no longer have to talk about your ex , in whichever way yan , yan unapotezea mazima yan kama hujawah mdate huyo mtu , ila ndugu yenu hawez kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
thubutu, hana muda huo huyu.

Sio huyo, sema sisi , you are all my followers , you are the reason why I’m here, Kama watu kama nyie msingekua cooperative na kupenda umbea, warumi wouldn’t be here untill now [emoji23][emoji23], ahsanten sana kwa sapoti yenu
 
mahaba yamekuzidi hadi unajivua ufahamu.


"move on kijana"
 
Hivi huyu Diamond si ndio alisema hawezi kumtunza baba yake kisa alimuacha bila malezi,sasa na yeye anafanya nini kwa watoto wake...?
Kids life styles are the perfect reflection of their parents past
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…