Diamond amnunulia gari mzee gurumo!!

Mbona unahasira sana na huyu dogo? Sounds like #¤%^&@$,manaake wanamwita sukari ya warembo huyu.

Hata mimi nasikia wanamwita sukar ya warembo......wala hatufahamiani!!!! Salamander
Ila kuna baadh ya vitu naviangalia kwa jicho la tofauti sana katika hili,je ni wazee wangap katika sanaa na mambo yanayohusu haya wapo katika hali hiyo na wengine zaidi ya hapo.

Mzee huyu kaelimisha jamii pamoja nakutumika sana na serikali hii kama anavyotumika aliyempa gari........tufike mahali tuangalie msanii ananufaika vip na mziki wake na ikiwezekana awe kama mfanyakaz ambae mwisho wa siku atapata kiinua mgongo na si kama hal ilivyo sasa.

Gari kampa sawa lakin jiulize uendeshaji wa gar/kuhudumia kwa mtu aliyeshindwa hata kununua baiskel si matusi hayo???......Watanzania wanapenda sifa za msiba wakat mgonjwa walikuwa hawaend kumuona!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

media anaztafuta yeye ama media ndio zinamtafuta yeye?hata angefanya hiyo kimya kimya media zisingeripot?
 
duh Tanzania kwel ni zaid ya niijuavyo..hawanaga shukran kabisa..so ulitaka awanunulie wazee wote na hizo gharama zingine amfanyie zote?we umetoa mchango gani?or hao wasanii wengine wametoa mchango gani kwake?
 
Last edited by a moderator:
duh Tanzania kwel ni zaid ya niijuavyo..hawanaga shukran kabisa..so ulitaka awanunulie wazee wote na hizo gharama zingine amfanyie zote?we umetoa mchango gani?or hao wasanii wengine wametoa mchango gani kwake?

Unajua mchango wewe????
Serikali ingewatengenezea mazingira yanayoelewekwa wala pasingekuwepo na wasanii wakulialia na wala Diamond asingemnunulia gari kama inavyosemekana!!!!

Huyo mzee kaimba miaka mingap kama unafahamu....
 
Jamani kaguswa na mzee ambaye walikuwa kwenye fani moja whats wrong with that? Hebu mbona nyie mmeshindwa hata kumkatia bima ya afya? Mwenzenu kaamua kushare mafanikio yake na Gurumo. Hebu tuacheni kuwa mahaterz ah..............
 
binadamu hatuna jema,hata yfanye jambo zuri namna gani,wapo ambao watasema umekosea.
 
Mwanzo ooh diamond free Cjui nn,juz ooh jamaa anadili na sembe...bongo bana ukitusua kdgo tuuu utajutaa..
 
Anaejua Habahatishi...!!!!mtameza sumu mfe huku mnaona..aliyenazo muheshimu ridhiki yake ni pana.....haterz malizien!!!!!
 
hata mgurumo alikuwa ngurumo kweli kwel alitesa tena sana huku msondo wakitisha sio kuwa hakupata pay ya kutosha ni ujana mbaya kama vile waigizaji,wanasoka au wanasiasa wa tz.utavuma ila utafulia tu hakuna mipango endelevu.hata diamond ataomba tu.
 
pengine hazijatolewa jasho hata tone, muwacheniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aji-enjoy, from living in tandale areas, to be buying people cars!!! :wave:
 
hata mgurumo alikuwa ngurumo kweli kwel alitesa tena sana huku msondo wakitisha sio kuwa hakupata pay ya kutosha ni ujana mbaya kama vile waigizaji,wanasoka au wanasiasa wa tz.utavuma ila utafulia tu hakuna mipango endelevu.hata diamond ataomba tu.

Diamond kajipanga wewe ni zaidi ya umchukuliavyo,usimuone kwa mtazamo wa magazeti ya Shigongo...alafu mie sielewi kwa nini mnamaind sana uyu dogo akipiga atua coz mambo anayofanya ni kawaida sana kwa celebs wa wenzetu..wengine wanaombea Mungu ashuke sijui akishuka watafaidika na nini wabongo bwana roho zetu..
 
Kama issue ni kufanyia video yake S.A sidhani kama mleta mada hii anajua lolote kuhusu marketing,sina uhakika kama unajua diamond kwa sasa ni product hence inahitaji branding ya maana ili iweze kumaintain au kukua!

Kama issue ni kumsaidia mzee wa watu,if this in any way has fueled your drive to hatred basi wewe ni proper definition of a human being less a soul!

Watanzania wengine kero kweli!
 
Sijawahi kukukubali diamond lakini sasa nakuheshimu.hata kama watasema unauza sembe ni wauza sembe wangapi wamewahi kufanya hivi.big up almasi.maneno hata kanga zinayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…