miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Mbona unahasira sana na huyu dogo? Sounds like #¤%^&@$,manaake wanamwita sukari ya warembo huyu.
Hata mimi nasikia wanamwita sukar ya warembo......wala hatufahamiani!!!! Salamander
Ila kuna baadh ya vitu naviangalia kwa jicho la tofauti sana katika hili,je ni wazee wangap katika sanaa na mambo yanayohusu haya wapo katika hali hiyo na wengine zaidi ya hapo.
Mzee huyu kaelimisha jamii pamoja nakutumika sana na serikali hii kama anavyotumika aliyempa gari........tufike mahali tuangalie msanii ananufaika vip na mziki wake na ikiwezekana awe kama mfanyakaz ambae mwisho wa siku atapata kiinua mgongo na si kama hal ilivyo sasa.
Gari kampa sawa lakin jiulize uendeshaji wa gar/kuhudumia kwa mtu aliyeshindwa hata kununua baiskel si matusi hayo???......Watanzania wanapenda sifa za msiba wakat mgonjwa walikuwa hawaend kumuona!!!!!!
Last edited by a moderator: