Baba ake anasota......sifa nyingine bwana!!!!
Hizo tunaita sifa za kijinga
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Tena za kishamba haswaaaa......Baba na mama ni Mungu wa dunia.Hata iweje hatuwez kutengua kauli!!!!
mnajuwa mahusiano yao yakoje..
masichana maj*nga nyie
Huruhusiwi kutukana mtu kwakuwa kila mtu na maoni yake.....ila cha muhimu kutoa hoja itakayomfanya labda abadilike kimtazamo.
Ukisema nyie wasichana wajinga sijui una maanisha nini???au ndo umeukalia bas yanakutoka!!!
Ni kwa nini mnpends kusikiasikia? ujinga huu, Gurumo ans nyumba kadhaa hapa mjini ambazo amezipangisha hicho kimkweche cha million 5 si lolote.Nadhani unajuwa thamani ya nyumba DarBora umempa gari maana nasikia kufanya kwake mziki huyo mzee hana hata baskeli
Big up
namanisha wewe na jenzako@naggirl cjui
so hamuon cha mana alichokifanya kwa yule mzee?
na ubusiano wa diamond n baba ake mwaujua uko vip?mwaijua story yao?mnaropoka tu na wivu wa kijinga kabisa
Namjua baba yake na mama yake.....tangia wanaishi kkoo!!!!
We kama umewaona kwenye magazet shaur yako,alafu bwana ako akiambiwa ukweli we kiroho kinakuuma.
Njengo yake inakutosha wewe sisi wengine tunaona hilo gar ni promo kama ilivyo promo nyingine tu.
Baba yake kachoka vibaya mno yupo pale kagera mikoroshini.......,amuhudumie pia ndo uungwana na sio sifa za magazetini!!!
Baba ake anasota......sifa nyingine bwana!!!!
unajua wako aje ki mahusiano mdada??!
shukuru Mungu we mzee au wazazi wako mko poa,kuna wengine wameapizana kabisa!
(mimi nilikua mmoja wao)>
unajua wako aje ki mahusiano mdada??!
shukuru Mungu we mzee au wazazi wako mko poa,kuna wengine wameapizana kabisa!
(mimi nilikua mmoja wao)>
wabongo bana..so hiyo used kachukua bure?we mbona hujamnunulia hiyo baiskeli mpya!!!bongo bana