Diamond amnunulia gari mzee gurumo!!

Diamond amnunulia gari mzee gurumo!!

safi sana kijana we2 Diamond,ubarikiwe sana kwa msaada ulioutoa kwa mzee Gurumo,endelea na moyo huo huo wa kuwasaidia watu wote wanaohitaji msaada kama vile maskini,walemavu,watoto yatima n.k
 
hongera diamond....
Hongera gurumo kwa kuanza tembelea ma..ta..ko uzeeni
 
Hilo gari siyo jipya namba zenyewe ni T...AYS WAKATI sasani zama za C
 
Saasaa km sio jipya c ndio litamkomesha zaidi...
 
mnajuwa mahusiano yao yakoje..
masichana maj*nga nyie

Huruhusiwi kutukana mtu kwakuwa kila mtu na maoni yake.....ila cha muhimu kutoa hoja itakayomfanya labda abadilike kimtazamo.

Ukisema nyie wasichana wajinga sijui una maanisha nini???au ndo umeukalia bas yanakutoka!!!
 
namanisha wewe na jenzako@naggirl cjui
so hamuon cha mana alichokifanya kwa yule mzee?
na ubusiano wa diamond n baba ake mwaujua uko vip?mwaijua story yao?mnaropoka tu na wivu wa kijinga kabisa
 
Bora umempa gari maana nasikia kufanya kwake mziki huyo mzee hana hata baskeli

Big up
Ni kwa nini mnpends kusikiasikia? ujinga huu, Gurumo ans nyumba kadhaa hapa mjini ambazo amezipangisha hicho kimkweche cha million 5 si lolote.Nadhani unajuwa thamani ya nyumba Dar
 
namanisha wewe na jenzako@naggirl cjui
so hamuon cha mana alichokifanya kwa yule mzee?
na ubusiano wa diamond n baba ake mwaujua uko vip?mwaijua story yao?mnaropoka tu na wivu wa kijinga kabisa

Namjua baba yake na mama yake.....tangia wanaishi kkoo!!!!
We kama umewaona kwenye magazet shaur yako,alafu bwana ako akiambiwa ukweli we kiroho kinakuuma.
Njengo yake inakutosha wewe sisi wengine tunaona hilo gar ni promo kama ilivyo promo nyingine tu.
Baba yake kachoka vibaya mno yupo pale kagera mikoroshini.......,amuhudumie pia ndo uungwana na sio sifa za magazetini!!!
 
pole..msoma magazeti ya udaku..
hujui hata unachokiongea
 
unajua wako aje ki mahusiano mdada??!
shukuru Mungu we mzee au wazazi wako mko poa,kuna wengine wameapizana kabisa!

(mimi nilikua mmoja wao)>

Najua ndio.......eti kuapizana!!!!!mzazi wako hata aweje ni mzazi tu.Angekojolea nje usingetoka wala kurecord huo mziki,na kama ni mama angekutoa bas usingekuwepo.
Nazi kushindana na jiwe......
 
Back
Top Bottom