Diamond amnunulia gari mzee gurumo!!

Diamond amnunulia gari mzee gurumo!!

angedizzle

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
590
Reaction score
504
d1.jpg


diamond platnumz akimkabidhi Mzee Gurumo gari jipya alilomnunulia @ Serena Hotel Dar

source BONGO 5
 

Attachments

  • d2.jpg
    d2.jpg
    28.2 KB · Views: 1,319
uzinduzi wa video mpya ya diamond umefanyika ndani ya serena hotel akiwa amegharamikia event nzima .na kikubwa alichokifanya ni kumzawadia zawad ya gari mzee Gurumo kama kutambua mchango wake katika tasnia ya muzic.
kitakachofuata kwa sasa ni kuonyeshwa behind the scene kisha video kuachiwa j3
WCB.
 
ahsante sana mkuu Desert on earth kwa hiyo update maana wengine hizo habari ni kungoja hadi magazeti pendwa yaandike halafu hadi yafike huku madongo Kuinama... mbombo ngafu gweeeeee......
we're waiting for further updates from you about that event.
je ni tv station gani itapewa previllege kuionesha hiyo new truck kwa mara ya kwanza???? bora iwe ni tbccm au hata channel O itakuwa pouwa maana hizi za kina kukoboa hazipo Dstv.
mshauri hivyo kama waweza apeleke star tv, tbccm na Katika music channels za Dstv
 
iko hivi..video imepata nafsi ya kutizamwa na waliokuwepo kwwnye uzinduzi.kuanzia kesho station zitaonyesha behind the scene then j3 ndiyo inaachiwa kwa station zote..waandishi na raia waliokuwepo waliokuwepo ndiyo watawasimuliwa video iko vip
na huenda video ikaenda mpaka MTV coz niya viwango vya juu sana tofaut na video ulizowah ziona africa masharik....ingawa Naseeb mwenyewe hudai kafanya kwaida tu but kuna jiwe lingine litakuja kali zaidi.
 
wamemsema kuwa yuko kwenye kashfa ya "sembe" angefanya kimya kimya, baraka za mzee Gurumo zingefika tu sio lazima magazeti, sasa watazidi kumuandama, tena ukizingatia hiyo ufunguzi kafanya event yote kwa gharama zake..... ila its good kamkumbuka mzee wa watu kuliko sisi wengine tunatoa sifa za mdomo tu.
 
Vizuri kijana,hatimaye legend wetu naye anatembelea makalio uzeeni
 
Sasa hiyo funcargo ataweka mate ili itembee....angempa mtaji/biashara unless hiyo gari aifanye tax tena aendeshe mwenyewe
 
Acha hizo. Kwani unajua role aliyoplay kwenye mafanikio yake. By the way, unajuaje kama Gurumo sio baba yake?

Wasanii wa bongo wanatafuta sifa za magazetini......Diamond limbukeni tuu.Baba yake anashinda masikani kagera magomen,kapigika!!!!!

Hajui pia afanye nini kwa wakat gani.Gari kitu gani?
 
Wasanii wa bongo wanatafuta sifa za magazetini......Diamond limbukeni tuu.Baba yake anashinda masikani kagera magomen,kapigika!!!!!

Hajui pia afanye nini kwa wakat gani.Gari kitu gani?

Mbona unahasira sana na huyu dogo? Sounds like #¤%^&@$,manaake wanamwita sukari ya warembo huyu.
 
Back
Top Bottom