Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

latifa
 
Kuna wazazi ukiwa na hela wanakuona miungu mtu sasa hivi kweli mama yake diamond kakubali kabisaaa kuona mwanae kaolewa na huyu kibibi. maadili yanapotea kabisa hakuna mapenzi hapa ni uchafu na kichefuchefu
 
So what??
 
Wivu tu hata kama bibi mwenzenu ndo kapendwa hivyo nyie endeleen bibi sijui nini maisha yanaenda
 
Kuna wazazi ukiwa na hela wanakuona miungu mtu sasa hivi kweli mama yake diamond kakubali kabisaaa kuona mwanae kaolewa na huyu kibibi. maadili yanapotea kabisa hakuna mapenzi hapa ni uchafu na kichefuchefu
Acha wivu wa kike ndugu, chapa kazi tafuta pesa.pilipili usoila yakuwashia nini??? Mnasakama Zari kwani ana uzee gani?? Unaweza kua kijana kwa umri lakini mzee kwa sura,mwili na mawazo kama wewe vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…