NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
kisicho ridhiki hakiliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
latifaMitandao ya Udaku Afrika inaripoti kuwa muimbaji kutoka Tanzania Diamond Platnumz amempima DNA mtoto wake ‘Tiffah’ na mpenzi wake ‘Zari’ ilikujua kama yeye ni baba wa mtoto huyo.
Chanzo cha taarifa hizi kinasema kipimo hicho kimafanyika Afrika Kusini siku chache kabla staa huyu hajaenda Las Vegas.
Gazeti la Amani kutoka Tanzania pia limeripoti kufanya mahojiano na Diamond Platnumz.
Diamond alisema “Kutokana na manenomaneno ya watu, ilifika mahali alichoka, akawa njia panda. Hivyo ili kuondoa figisufigisu, akamwambia Zari waende wakampime DNA mtoto na yeye. Ni kabla hajaenda Marekani.”
Vipimo vya DNA vimethibitisha kuwa Tiffah Dangote ni mtoto wa Diamond na sio mtoto wa billionaire Ivan Ssemwanga ambaye ni Ex wa Zari aliyekaa naye kwa miaka 10.
Ivan ana watoto watatu na Zari ambao ni Pinto, Quincy na Didy.
mapenz hayana umr mbona mengi kamuawowa ntuyabaliwehivi huyu kijana na umri wake kweli kaamua kabisa kuapeleka maisha kwa bibi huyo?
sijui atahadithia nini maisha yake ya ujana na mapenzi
Ndio kashapima tayariAmemkosea sana Latiffah. Mtoto mdomo tu tayari kama baba yake;
Je, angekuta siyo wake ingekuwaje;
Kwani tatizo nini mkuu,we huwezi coz huna chapaa ya kuwahudumia wote ila yeye ilo kwake sio tatizoMapenzi bana noma sana! Sasa huyu kijana mdogo tu anaangukia kwa mmama wa watoto watatu!
Mitandao ya Udaku Afrika inaripoti kuwa muimbaji kutoka Tanzania Diamond Platnumz amempima DNA mtoto wake ‘Tiffah’ na mpenzi wake ‘Zari’ ilikujua kama yeye ni baba wa mtoto huyo.
Chanzo cha taarifa hizi kinasema kipimo hicho kimafanyika Afrika Kusini siku chache kabla staa huyu hajaenda Las Vegas.
Gazeti la Amani kutoka Tanzania pia limeripoti kufanya mahojiano na Diamond Platnumz.
Diamond alisema “Kutokana na manenomaneno ya watu, ilifika mahali alichoka, akawa njia panda. Hivyo ili kuondoa figisufigisu, akamwambia Zari waende wakampime DNA mtoto na yeye. Ni kabla hajaenda Marekani.”
Vipimo vya DNA vimethibitisha kuwa Tiffah Dangote ni mtoto wa Diamond na sio mtoto wa billionaire Ivan Ssemwanga ambaye ni Ex wa Zari aliyekaa naye kwa miaka 10.
Ivan ana watoto watatu na Zari ambao ni Pinto, Quincy na Didy.
Naunga mguu hojaAweke vyeti sio maneno
Acha wivu wa kike ndugu, chapa kazi tafuta pesa.pilipili usoila yakuwashia nini??? Mnasakama Zari kwani ana uzee gani?? Unaweza kua kijana kwa umri lakini mzee kwa sura,mwili na mawazo kama wewe vile.Kuna wazazi ukiwa na hela wanakuona miungu mtu sasa hivi kweli mama yake diamond kakubali kabisaaa kuona mwanae kaolewa na huyu kibibi. maadili yanapotea kabisa hakuna mapenzi hapa ni uchafu na kichefuchefu
Mamama ni matamu sana. Ukionja hutatamani vidada !Mapenzi bana noma sana! Sasa huyu kijana mdogo tu anaangukia kwa mmama wa watoto watatu!
Mhhhhh mkuu hiyo avatar noma sana.[emoji23] [emoji23]Kumtamzama mtoto tu inatosha. Kwa nini mpaka ma DNA, sijui ma Diamond?
View attachment 328983
hamna lolote diamond hana uwezo wa kuzaa..huo ni udaku tuu, ataendelea kulelea watoto wa madume ya mbegu..Kumtamzama mtoto tu inatosha. Kwa nini mpaka ma DNA, sijui ma Diamond?
View attachment 328983
hamna lolote diamond hana uwezo wa kuzaa..huo ni udaku tuu, ataendelea kulelea watoto wa madume ya mbegu..
ndivyo hivyo ilivyo na itaendelea kua kama ilivyo kama ivyo alivyoumbwa.Duh!
Umejuaje hana uwezo wa kuzaa?
Hata akiweka vyeti bado utasema ni feki!! Acha wivuAweke vyeti sio maneno