Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

safi Diamond kwa kumvua billioner mke,na watu ndio watambue ndoa ni taasisi na kumwelewa mwanamke ni kazi pia.

Lakini pia ni somo kwa wasanii wengine wa fani yoyote ukijituma utaongea kiwango cha mapato na kupendwa pia.
 
Kwa hiyo Platinum angemtumbua jipu Zari angekuta ndivyo sivyo?
 
Kwa kweri Zari anavutia sana hata ningekua mimi ningeingia king tu, haijalishi hata kama ana wajukuu
 
Ww uliyemshutumu ndo ulipaswa kutoa ushahid wa vipimo!! Kwani mimi wapi nimesema yupo fit au unfit?
wewe ndio umemshutumu kwa kupinga kauli.. kama huna uhakika ni bora kubaki neutral..je anavyosema amepima DNA umedhibitisha?? au ni porojo za shigongo(udaku).. je unadhani kwa nini hakupima hapa bongo kama ana uhakika ni rijali ili kuondoa tetesi?? kwa nini aende akajifishe huko S.A na kutoa porojo akiwa huko bila udhibitisho??dogo hana uwezo wa kuzalisha mwanamke japo si hanithi.. ndugu zake na mama yake wanalitambua hilo wewe mtu wa nje huwezi jua japo utasikia tuu..
 
tumekuelewa mwanafamilia!
 
Kuna wazazi ukiwa na hela wanakuona miungu mtu sasa hivi kweli mama yake diamond kakubali kabisaaa kuona mwanae kaolewa na huyu kibibi. maadili yanapotea kabisa hakuna mapenzi hapa ni uchafu na kichefuchefu
ebu sema ukweli wako toka moyoni...huyo bibi unaemsema(zari)angekutaka wewe ungemkataa kweli?au wazee wako wangemkataa?
wazee wako na hata we mwenywe mngemkataa mtu wa umri km wa zari endapo tu,angekuwa sio mzuri(sura ngumu,mwili km sanamu la michelini) au kama ni kajamba nani(masikini,kiufupi hashine/hapambi)
Mkuu nimekuwekea hili swali kwa muundo wa tashtiti(rhetorical question)
 
Mamama ni matamu sana. Ukionja hutatamani vidada !
Hamna kitu, labda uwadanganye "watoto"!....."machine" imetumika mfululizo miaka kumi.....! Hiyo 10 ni ya ndoa na huyo baba wa hao watoto watatu...hapo bado hujaweka ile ya ujana!

Angelikuwa ni mdogo wako wa damu, ungemshauri aoe wamama badala ya wasichana wa rika lake?
 
Back
Top Bottom