Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

Diamond ampima DNA ‘Tiffah’

Lo
hivi huyu kijana na umri wake kweli kaamua kabisa kuapeleka maisha kwa bibi huyo?
sijui atahadithia nini maisha yake ya ujana na mapenzi
Love is somewhere where you love, kwani ubibi wa Zari ni hupi?
 
hamna lolote diamond hana uwezo wa kuzaa..huo ni udaku tuu, ataendelea kulelea watoto wa madume ya mbegu..
Ni kweli hsna uwezo wa kuzaa..mwanaume hazai wanawake ndo wanazaa
 
Kuna wazazi ukiwa na hela wanakuona miungu mtu sasa hivi kweli mama yake diamond kakubali kabisaaa kuona mwanae kaolewa na huyu kibibi. maadili yanapotea kabisa hakuna mapenzi hapa ni uchafu na kichefuchefu
Mapenzi hayana umri bhana hebu achana na izo issue ukibibi wa zari ni upi? Angekuja kwako uyo zari ungemkataa au sizitaki mbichi hizi
 
Hamna kitu, labda uwadanganye "watoto"!....."machine" imetumika mfululizo miaka kumi.....! Hiyo 10 ni ya ndoa na huyo baba wa hao watoto watatu...hapo bado hujaweka ile ya ujana!

Angelikuwa ni mdogo wako wa damu, ungemshauri aoe wamama badala ya wasichana wa rika lake?
Nakwambia mkuu kama hujajaribu jaribu sasa. They are so sweet!
Hivyo vitoto papuchi zinateleza!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Lakini wengi wao walokuwa wakipiga kelele kwenye mitandao walikuwa wakisema kuwa mtoto ni wa pedeshee Katunzi na sio Ivan, walomtaja Ivan ni wachache sana, Nadhani Diamond angewawekea hayo majib kama alivyoweka ultrasound ya kwanza kabsaa, na kwanini alienda pima south Africa?? angepima hapa ile hizi tuuma ziishe na wamuache na maisha yake, mana kwakweli inauma na kuchosha mtu kukwambia mtoto si wako, japo haka katoto sasa hivi kanaanza kuja kwa baba yake yani Diamond.
 
Amemkosea sana Latiffah. Mtoto mdomo tu tayari kama baba yake;
Je, angekuta siyo wake ingekuwaje;

Hapo sasa .hata mm sijapenda.kama aliamua kulea angeendelea hivyo hivyo...sasa ingekuwa sio wake sijui angemkataa?
 
Kuna wazazi ukiwa na hela wanakuona miungu mtu sasa hivi kweli mama yake diamond kakubali kabisaaa kuona mwanae kaolewa na huyu kibibi. maadili yanapotea kabisa hakuna mapenzi hapa ni uchafu na kichefuchefu
Nilikuwa napita tu..ila hapana mmezidi..huyoo Zari mnavyosema Ni mbibi..kawazalia mama zenu...najua ninyi Ni Team Fekeloo sasa mnaona wivuu..kwa taarifa kitu.kikubwaa mwanaume anachoangalia hapoo wkt mwingine Ni mapenzi ya Mungu Ni uzazi...WiFi yetu Mashallah anatagaa..sass huyo nuksi wenuu alishasemagaa kweupee eti alitoagaa sijui wakachorokoaa mengine ndani ndoo maana Hapati..Anatoa Mumbaa Ni sawa aliuaa Leo hii anaililua Usimchezee Mungu..sasa ndo mlitaka Kaka Yetu Icon wetu akahangaikee Na Lishankupee mitaa yoote kazungukaa..rejea wimboo Wa Unasema naweza Khadija Kopa Na Diamond..Tafadhari sana...Age us just S number..kama imewauuma kunyweni Acid!!!!!!!!!
 
Diamond and Zari ndo mpangoo mzimaa. Oneni mpaka Makampuni makubwa yalikaa vikao vya Body Na wakakubari ilee Couple Inalipaa wakasign Deal. Mapesaa mwaaaa mwaa wakasema Zari all white party hakuna ubishi watu kama wameshusha Ni mapesaa tuu..Mungu kama kasema ndioo nani Wa kubishaa!!!Zari and Diamond are Forever......is like Fish and Water!!!!kiss kwa mlionunaaa;;
 
Mitandao ya Udaku Afrika inaripoti kuwa muimbaji kutoka Tanzania Diamond Platnumz amempima DNA mtoto wake ‘Tiffah’ na mpenzi wake ‘Zari’ ilikujua kama yeye ni baba wa mtoto huyo.

Chanzo cha taarifa hizi kinasema kipimo hicho kimafanyika Afrika Kusini siku chache kabla staa huyu hajaenda Las Vegas.

Gazeti la Amani kutoka Tanzania pia limeripoti kufanya mahojiano na Diamond Platnumz.

Diamond alisema “Kutokana na manenomaneno ya watu, ilifika mahali alichoka, akawa njia panda. Hivyo ili kuondoa figisufigisu, akamwambia Zari waende wakampime DNA mtoto na yeye. Ni kabla hajaenda Marekani.”

Vipimo vya DNA vimethibitisha kuwa Tiffah Dangote ni mtoto wa Diamond na sio mtoto wa billionaire Ivan Ssemwanga ambaye ni Ex wa Zari aliyekaa naye kwa miaka 10.

Ivan ana watoto watatu na Zari ambao ni Pinto, Quincy na Didy.


Domo kapigwa change la macho juu ya mtoto....Mtoto haendani kabisa na familia ya Domo, yaani hajarithi chochote toka kwao. Hafanani na bibi, mashangazi, wala baba mwenyewe bali Ivan.
 
Amemkosea sana Latiffah. Mtoto mdomo tu tayari kama baba yake;
Je, angekuta siyo wake ingekuwaje;
Huyu mtoto akija kuwa na akili na.kujitambua sijui itakuwaje?maana kwa utamaduni wa Tanzania naona changamoto kwake hasa kwa maendeleo yake kitaaluma
 
Domo kapigwa change la macho juu ya mtoto....Mtoto haendani kabisa na familia ya Domo, yaani hajarithi chochote toka kwao. Hafanani na bibi, mashangazi, wala baba mwenyewe bali Ivan.
Mlimsema sana malaika wa watu Tiffa lakini Mungu kawapiga kofi.Mtoto kafana na baba yake copyright.kama ukimuangalia vizuri ule mdomo na kipumi cha uso ni domo mtupu.Ogopa sana fimbo ya Mungu na usiseme kitu usichokua na uhakika nacho bora ubaki neutral
 
Mlimsema sana malaika wa watu Tiffa lakini Mungu kawapiga kofi.Mtoto kafana na baba yake copyright.kama ukimuangalia vizuri ule mdomo na kipumi cha uso ni domo mtupu.Ogopa sana fimbo ya Mungu na usiseme kitu usichokua na uhakika nacho bora ubaki neutral


Usiwe mjinga kihivyo....usilazimishe vitu visivyolazimika.....mtoto kafanana na Ivan, sura, mdomo, na yale mashavu. Angalia picha za Domo alivyokuwa mtoto then fananisha. Au ile sura mgogoro ya Mama Domo inafanana na Tiffah kweli?
 
Back
Top Bottom