Diamond amtupia mabegi nje Kim Nana, penzi lao lafika ukingoni.

Diamond amtupia mabegi nje Kim Nana, penzi lao lafika ukingoni.

Pro Diamond,unafanya kazi masaa 24 kama CCTV za collesium kuhakikisha unatupa habar zake Star wetu
 
Story zenu hizi wanaume wa dar wakati mnasubiri supu ya pweza ichemke
Punguzeni unafiki nyie wanaume wa mkoani maana threas ya wanaume wa Dar wewe unakua wa kwanza kufatilia na kutoa comment sasa ndo nini sasa unafiki ni hulka ya kike mkuu
 
Halafu ukipigwa ban unasema umeonewa....kila siku tunawaambia story bila picha ni sawa sawa na taifa bila bendera mkuu mbona hamuelewi!? Tutaanza kuwapiga ban sasa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nyuzi kama hizi hata kuwa wa kwanza ku reply unaogopa maana zmekaa kishost shost
 
Stori za wanaume wa dasalade wanamjadili diamondide .
 
Diamond anafaidi sana aise, wanaume tunamuonea dongo la jabau...🙁😕
 
Back
Top Bottom