Diamond amuita Jokate "makombo"

Umeona eenh!Shigongo sasa hivi amezidi aisee halafu ili kudhihirisha uongo wake utaona ameandika"tulipompigia simu ya mkononi diamond iliita bila kupokelewa"

Wanaboa haswa inabidi wabadilike sasa enzi zao zimepitaaaaa wakati watu walikuwa hawatanui mitandaoni nk

hiyo ya simu lol
 
iv huyo zar sio makombo kwake?? tn alie fyatua leba watt wa2??? nyooh ndomo kwel boya
 
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.

Karibu tena tulikumicje mwayego.
 
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.

Wewe nae ulipewa ban ya mwezi mzima au? Hata hivyo nahisi sio sababu ya lile saga la hadharani...
Lazima kuna kitu kiliendelea PM!
 
Usiamini sana magazeti ila jokate nae walewale maji mara moja unapakua tu juzi mwz kapakuliwa n ---- flani

He nani huyo tena kafumua hayo marinda? Kama kweli Jokate anatoka na Ali Kiba atakuwa amejivunjia heshima yake zaidi kwani hadi sasa hana heshima kwa kitendo cha kutoka na mlolongo mrefu.

Huyu bint ana tatizo gani wana jamvi, kama kashawishika kufanya hivyo siyo kama anamkomoa ex wake bali yeye mwenyewe.

Nawashauri wanawake, usikubali kulipa kisasi kwa kutumia mwili wako, unajidhalilisha mwenyewe. Huyo bint ni slow mover lakini anafagia ile mbaya.
 
Jamaa mmoja muandaaji w insta party
 
Mwenye magazeti ana chuki na Chibu na alijitahidi kumshusha akashindwa. Kuweni makini, anachotaka kufanya ni kutengeneza chuki kati ya Chibu na wanawake. Ndoa zetu siku hizi ni used, kina dada wana date tangu primary hadi chuo kikuu na kina kaka wanaanza Sekondari hadi chuo kikuu.

Wote tunakutana used, makombo ya watu wengine kwa muktadha huo. Lakini tunafumba macho, sitaki hata kujua nani alichapa kabla yangu, mimi nafurahia watoto tu ninaozaa basi. Sote used, used ni makombo ya wengine.
 
Umeona eenh!Shigongo sasa hivi amezidi aisee halafu ili kudhihirisha uongo wake utaona ameandika"tulipompigia simu ya mkononi diamond iliita bila kupokelewa"

Hapo umenena yaani siku hizi story zote zinaishia hivyo tu "...tulimpigia simu haipatikani au iliita bila kupokelewa..." Uongo mtupu wanafanya city ili wauze tu ndio maana vigazeti hivi vinasomwa na mabeki tatu na wanawake wa uswazi
 
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.

Hahahahaha umenichekesha huyo kibao mwenyewe si wa mchikichini kule bondeni hivi ushawahi kufika kule ni kama huko tandale so iyo statement I apply kwa huyo kibao
Facts: nilikua fan kipenzi wa kibao but nimemshusha sana kuona kwa hawezi kurudi bila kujenga bifu na dai

Na kama kweli yeye ni mfalme basi atoke kimataifa aache kuwa "too local"
 
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.

Ivi tunaoishi tandale ndio tupo ivyo? Achazalau wewe
 
Ila ata kama jokate ni mzuri jamani daaahh...
Afu kama kweli domo kasema hayo ni ushamba unamsumbua
 
Sasa apa kiba kutoka kimataifa au kutokutoka, au yeye kuwa mfalme inahusiana na nini na huu uzii mkuu Mazigazi
 
Last edited by a moderator:

daah kama hashim thabit alikua anakula mzigo ally ataenea kweli? si ata mpwelepweta bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…