Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eenh!Shigongo sasa hivi amezidi aisee halafu ili kudhihirisha uongo wake utaona ameandika"tulipompigia simu ya mkononi diamond iliita bila kupokelewa"
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.

Usiamini sana magazeti ila jokate nae walewale maji mara moja unapakua tu juzi mwz kapakuliwa n ---- flani
He nani huyo tena kafumua hayo marinda? Kama kweli Jokate anatoka na Ali Kiba atakuwa amejivunjia heshima yake zaidi kwani hadi sasa hana heshima kwa kitendo cha kutoka na mlolongo mrefu.
Huyu bint ana tatizo gani wana jamvi, kama kashawishika kufanya hivyo siyo kama anamkomoa ex wake bali yeye mwenyewe.
Nawashauri wanawake, usikubali kulipa kisasi kwa kutumia mwili wako, unajidhalilisha mwenyewe. Huyo bint ni slow mover lakini anafagia ile mbaya.
Masikini mwanakwaya wetu Saint Peter, huwa anaimba vizuri aisee
Umeona eenh!Shigongo sasa hivi amezidi aisee halafu ili kudhihirisha uongo wake utaona ameandika"tulipompigia simu ya mkononi diamond iliita bila kupokelewa"
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.
Yeye Mbona anakula kiporo kilichooza?
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.
Hahahahaha umenichekesha huyo kibao mwenyewe si wa mchikichini kule bondeni hivi ushawahi kufika kule ni kama huko tandale so iyo statement I apply kwa huyo kibao
Facts: nilikua fan kipenzi wa kibao but nimemshusha sana kuona kwa hawezi kurudi bila kujenga bifu na dai
Na kama kweli yeye ni mfalme basi atoke kimataifa aache kuwa "too local"
DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo.
Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua anajisikiaje kuona wapenzi wake wa zamani Jokate na Wema Sepetu Madam wanamuunga mkono Ali Kiba.
Pamoja na kudaiwa kuwa Jokate ana uhusiano wa kimalovee na Ali Kiba na mwenyewe kutokubali, ameungana na Wema kuendesha kampeni ya nguvu kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu wampigie kura Kiba kwenye Tuzo za Kili 2015 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kampeni ya kuuangusha ufalme wa Diamond kimuziki.
Baada ya mwanahabari wetu kuujua mchezo huo uliopamba moto kama moto wa kifuu mitandaoni ndipo alipomuuliza Diamond anauzungumziaje ambapo kwanza alikiri kuufahamu na kudai ameudharau maana hauna jipya.
Hamna jipya waache waendelee kumpigia kampeni (Kiba) lakini mimi nafanya muziki wangu, mashabiki wanafahamu. Kwa hao watoto wa kike, hakuna kipya kwangu si kimuziki hata maisha yao binafsi.
Wema namjua vizuri, Jokate ndiyo usiseme. Mwache huyo Kiba aendelee kula makombo kwa Jokate kama ameamua kipita njia nilizopita si mbaya, inaruhusiwa, alisema Diamond.
Jitihada za kumpata Jokate ili aweze kufunguka kuwa anajisikiaje kuitwa makombo na Diamond hazikuzaa matuda kufuatia simu yake kuita bila kupokewa, jitihada zinaendelea.
Chanzo: GPL
My Take:
Huku ni kudhalilishana kwa sababu wasanii wa kibongo kuchukuliana ndio fashien. Naye anayemtumia mke wa mtu hali makombo? Ifike hatua nao hawa wasanii wa mwaka 2006 waolewe wawapishe vijana wapya enzi zoo zimeisha wasije kukutwa na ndala wakati wa kuolewa.