Diamond amuita Jokate "makombo"

Wewe nae ulipewa ban ya mwezi mzima au? Hata hivyo nahisi sio sababu ya lile saga la hadharani...
Lazima kuna kitu kiliendelea PM!

Ha ha ha...
Shoga yangu weee....
Hakuna kilichoendelea Pm wala.
Ban ya mwezi.Yani kukosa kuchangia ubuyu hapa mpaka nikapata utapiamlo kabisa.
 
Kwa iyo kwa kuwa Jokate alishawahi kutoka na na daimondo inamaana Kiba hana haki ya kutoka naye tena!
Basi angemshona ile nyapu tujue moja.
Watu wasiishi maisha yao kwa kisa gani?
Waacha watembee kama ni kweli, watajua wenyewe.Ila sio kila kitu ni swala la uhasimu.
Ali k ni mfalme ndiyo.
 
Ha ha ha...
Shoga yangu weee....
Hakuna kilichoendelea Pm wala.
Ban ya mwezi.Yani kukosa kuchangia ubuyu hapa mpaka nikapata utapiamlo kabisa.

Mwenzangu na umepitwa na umbea mwingi hatariii..
Zile autobiography zote!
 
Mitoto ya madrasa ni shida sana ..hasa hilo lenye domo kubwa hilii..
 
Mwenzangu na umepitwa na umbea mwingi hatariii..
Zile autobiography zote!

Nilikua nazisoma mbona....ila kama guest tu.
Ilikua ni sheeda.Wanatusema sie wambeya ila hapa jf kila mtu anapenda umbeya, sio kwa kumiminika kule😀
 
Nilikua nazisoma mbona....ila kama guest tu.
Ilikua ni sheeda.Wanatusema sie wambeya ila hapa jf kila mtu anapenda umbeya, sio kwa kumiminika kule😀

Hahahahaa ilikua shiiidah! Ila nawe unakubali kuwa guest kipindi chote hicho? Mimi ningeshafungua fekero zamaaani!
 
Hahahahaa ilikua shiiidah! Ila nawe unakubali kuwa guest kipindi chote hicho? Mimi ningeshafungua fekero zamaaani!

Nilikua chini ya uangalizi mkaliii, chezeya wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…