Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
hili jukwaa linanukia PAPUCHI
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili jukwaa linanukia PAPUCHI
Wewe nae ulipewa ban ya mwezi mzima au? Hata hivyo nahisi sio sababu ya lile saga la hadharani...
Lazima kuna kitu kiliendelea PM!
Hahahahaha umenichekesha huyo kibao mwenyewe si wa mchikichini kule bondeni hivi ushawahi kufika kule ni kama huko tandale so iyo statement I apply kwa huyo kibao
Facts: nilikua fan kipenzi wa kibao but nimemshusha sana kuona kwa hawezi kurudi bila kujenga bifu na dai
Na kama kweli yeye ni mfalme basi atoke kimataifa aache kuwa "too local"
Ivi tunaoishi tandale ndio tupo ivyo? Achazalau wewe
Ha ha ha...
Shoga yangu weee....
Hakuna kilichoendelea Pm wala.
Ban ya mwezi.Yani kukosa kuchangia ubuyu hapa mpaka nikapata utapiamlo kabisa.
Mwenzangu na umepitwa na umbea mwingi hatariii..
Zile autobiography zote!
hili jukwaa linanukia PAPUCHI
Nilikua nazisoma mbona....ila kama guest tu.
Ilikua ni sheeda.Wanatusema sie wambeya ila hapa jf kila mtu anapenda umbeya, sio kwa kumiminika kule😀
Yeye mbona kaoa mwanamke Mzee mwenye watoto wa mume mwenzake,nani anakula makombo sasa?
Ameamua kuimba kwaya ya chumbani ndio nzuri
Ndio maana sikapendi tena haka kadada!
Kuna jamaa muandaaji w isnta party ndio alikua anampakua juz mwz goldcrest hotel
Hahahahaa ilikua shiiidah! Ila nawe unakubali kuwa guest kipindi chote hicho? Mimi ningeshafungua fekero zamaaani!
Nilikua chini ya uangalizi mkaliii, chezeya wewe!
nifaaah