Yaaani. Watu sijui tupojeWatu na vyama vyao ni mwendo wa kufukua makaburi na kuchafuana.
Duh!!!!Huyu Diamond ndio Maana anazuiwa airport, huwezi kumwita nyumba ndogo ya taifa makombo, ni ukosefu wa nidhamu.
Mtumeee makaburi yamefufuliwa walahi!
Aibuuu
Msubirie Mange sasa hivi, kashatayarisha vidole kama fimbo za marimba na smart phone yake.Yaaani. Watu sijui tupoje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mama asipitwe. Kila kitu ajua yeye kam google.Msubirie Mange sasa hivi, kashatayarisha vidole kama fimbo za marimba na smart phone yake.