chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Akili ya Diamond ni kubwa sana, let's be fair, recognition inatosha kumpa kiwango hicho, huyo mdada yeye akili yake ipo corner gani
Hapo sasa na degree juu sielewi anafaa kona ipi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ya Diamond ni kubwa sana, let's be fair, recognition inatosha kumpa kiwango hicho, huyo mdada yeye akili yake ipo corner gani
Ni mwanaume Mshamba tu anaweza kuita mwanamke Makombo ....Huo Ni udhalilishaji ...kwani ma'am Yake alikua makombo kwa wangapi badi akamzaa yeye ? Tuwe fair ...
Wazee wanna msemo ......Haina makombo ......!!!! Kila Siku inakua mpya kwa Yule aliyeipata wakati Huo
Kwani nimekunyang'anyeni?
Ahhaahaahhaha nifah unakumbk ule uzi jokate alisem kun mtu anampend ila anaogop kusem ukasem ole wake awe nan ako😕:what:
Ndio hivyo namuangalia tu.Nikigundua bado anamfuatilia ndio nitajua cha kumfanya.
Vichwa vitatu vimepita ukeni plus ivan, farouk, katunzi, lile babu la nigeria, mimi Danny greeny na wengine total ni kama kumi na tatu hivi plus NDOMO KAMA CHOGO LA UFUDU, yaani heri ya jokate makombo hilo li Zwari ni KIPORO KABISA
iv huyo zar sio makombo kwake?? tn alie fyatua leba watt wa2??? nyooh ndomo kwel boya
Nampenda Jokate.Ivo ivo alivo, atleast kuna vitu anaweza akani inspire.
Kama kweli anatoka na Kiba kila la heri,.
Kama kweli D kasema ivo sishangai.
'You can take a man out of Tandale, but u cant take Tandale out of him'.
Hapo anayeshushiwa heshima kwakiwango kikubwa ni mwanamke,kwa akili ya kawida kama huyo dada anamwanaume ataendelea kumheshimu kwa kiwango kilekile kweli......? Hapanaaaa.... kupitia huyo Kidoti wanawake wengine wajifunze kutodetideti na wanaume hovyohovyo....
Nataka nikamue mmoja wamefika bei gani?wako bongo movie
GPL wamekaa kichonganishi tu.
kwahio zari ndo anakaa na wanaume?? ivan, farouk, katunzi na msululu huo wote?? au humjui nini zari??hilo sio rambo ni ziwa victoria kabisa.... daimond anajidanganya makombo ndo yy anaekula haswa., hajawahi kula fresh ni mdandia makombo kwa kwenda mbele na vijisenti vyake .
We unamjua Zari au unajishaua tu hapa?we umewahi kum..f..uy.cky.zari au mbwembwe tu!?vijisent wewe unavyo alivyonavyo domo!??