Diamond amuita Jokate "makombo"

Diamond amuita Jokate "makombo"

Mkali wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba , hakuna jipya kwani anakula makombo

Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua anajisikiaje kuona wapenzi wake wa zamani Jokate na Wema Sepetu ‘ Madam ’ wanamuunga mkono Ali Kiba .
Pamoja na kudaiwa kuwa Jokate ana uhusiano wa ‘ kimalovee ’ na Ali Kiba na mwenyewe kutokubali , ameungana na Wema kuendesha kampeni ya nguvu kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu wampigie kura Kiba kwenye Tuzo za Kili 2015 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kampeni ya kuuangusha ufalme wa Diamond kimuziki .
Baada ya mwanahabari wetu kuujua ‘ mchezo huo ’ uliopamba moto kama moto wa kifuu mitandaoni ndipo alipomuuliza Diamond anauzungumziaje ambapo kwanza alikiri kuufahamu na kudai ameudharau maana hauna jipya .

“Hamna jipya waache waendelee kumpigia kampeni (Kiba ) lakini mimi nafanya muziki wangu, mashabiki wanafahamu . Kwa hao watoto wa kike, hakuna kipya kwangu si kimuziki hata maisha yao binafsi .
“Wema namjua vizuri , Jokate ndiyo usiseme. Mwache huyo Kiba aendelee kula makombo kwa Jokate kama ameamua kipita njia nilizopita si mbaya, inaruhusiwa , ” alisema Diamond .
Jitihada za kumpata Jokate ili aweze kufunguka kuwa anajisikiaje kuitwa makombo na Diamond hazikuzaa matuda kufuatia simu yake kuita bila kupokewa, jitihada zinaendelea.
 

Attachments

  • 1431798580994.jpg
    1431798580994.jpg
    61 KB · Views: 1,089
Mhhhhh hiyo saa aliyovaa Jokate nimeipenda!
 
Kwakua umeona ya bei rahisi eeh? Ingekua kashika iPhone 6/Samsung galaxy s6 sidhani kama ungesema hivyo.
Utani tu.....asante.

Hiyo saa siyo ya Bei rahisi kama unvyodhani.... Ni CR ile bei nzuri kabisa pale Shoppers Plaza
 
Hata yeye pia amekula makombo, na wengine wote humu kama mumeo hajaikuta ujue anakula used sema anajikaza kiume tu.
 
Kama umeolewa na mtu ambaye hajakutoa bikra wewe ni makombo ya aliyekutoa bikra. Hakuna haja ya kuuma maneno. Na kwa mwanaume kama umeoa mke ambaye si wa kwanza kwako nawe mwanaume ni makombo kwa waliokutangulia. Kinachouma hapo ni ile hisia kwamba nyote ni makombo tu. Kina mama ndo wanaumia zaidi kwa sababu ushahidi wa wao kuwa makombo upo wazi ni kuondoka kwa bikra. Tujadili hili kwa hekima huku ukiikumbuka nafasi yako ya umakombo.
 
K haznaga makombo inaoshwa matumiz yanaendlea......
Km ya zari kwan mpya hiyo... Ingekua inasoma kilometa ya zarina ingekuwa inasoma km tren ya mjeruman

Hahahahahaaaa eti Zarinah nini?
 
Hapo umenena yaani siku hizi story zote zinaishia hivyo tu "...tulimpigia simu haipatikani au iliita bila kupokelewa..." Uongo mtupu wanafanya city ili wauze tu ndio maana vigazeti hivi vinasomwa na mabeki tatu na wanawake wa uswazi

Hahahahahahaaa
 
Kama Jokate ni makombo yeye kala makombo mara ngapi au Jokate alimkuta na bikira wakati anammega? halafu ukisema Jokate Makombo Zari utasemaje Yaani yule jamaa Ivan yeye atasemaje?
 
Back
Top Bottom