Diamond amuombea kura Ali Kiba

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
..Akihojiwa katika kipindi cha D'weekend chatshow Diamond Platnumz amesema kuwa watanzania wampigie kura Ali Kiba ili tuzo ije nyumbani na sio kusema kuwa mimi ni shabiki wa Diamond hivyo simpigii kura Ali,.pia amesema kuwa yeye hana bifu na Ali!!
.....nini maoni yako?????
 
Diamond huwa yuko poa,Alikiba ndio huwa amavimaneno vyenye ukakasi plus mashabiki wake!!
 
Kila kitu anafanya ili asitoke midomoni mwa wa Tanzania mwisho atatoa t@ko kwa ajili ya kiki
 
Kila kitu anafanya ili asitoke midomoni mwa wa Tanzania mwisho atatoa t@ko kwa ajili ya kiki
acha uboya wewe,jambo la maana unaleta u*e*g* wako
 
Kunako tuzo sina ushabiki wa kijinga, lazima tuzo ije bongo, nabaki tanzania kwanza , ushabiki baadae
 
Hivi hili bifu mavi lisingekuwepo ali kizazi hiki kingemjua kweli?labda kizazi chake cha 'usiniseme kama napenda kula'!!yani domo naona anafanana dollar maana kila cku tunae vichwani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…