Acha dharau wengine wanategemea hiyo kazi kusomeshea watoto we kama una kazi nzuri mshukuru mungu aliye juu pia chuja kwanza kabla ya kukomenti jambo
mi nlijua labda nilikua ni mbinu ya kutoa rushwakumbe hata ndala za matajiri HUKATIKA?
Askari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Wewe sio matawi ya juu acha hizo bana!Si ajabu huna hata hiyo ya kuliwa mbu! JF kila mtu ni matawi ya juu
Bora Hawa maaskari magereza hawanaga shida na raia sio km wale vijana wa siro wanejawa viherehere km bao la alfajiri
Lugha yenyewe aliyotumia, amshukuru faiza fox hayupo siku hizi.Acha dharau wengine wanategemea hiyo kazi kusomeshea watoto we kama una kazi nzuri mshukuru mungu aliye juu pia chuja kwanza kabla ya kukomenti jambo
Unalala kwa amani kwaajili yao hao walinz wa amani na mali zako....hakuna vita kwaajili yaoAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Nshomile katika ubora wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ni mgawanyo wa majukumu. Watu wote wakiwa bankers itakuwaje? Kazi zote zinategemeana ni system. Hivyo, Heshimu kazi ya mwenzio kwasababu inasababisha uwepo wa kazi yako.Askari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] better bas hata salary ingekua kubwaAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Haa haa haa alienda kushonesha me nilijua ataagizia mupya kwa shopkumbe hata ndala za matajiri HUKATIKA?
Hawa ndio wanaokula kwa dadaKwema bro.?
Shemela hajambo
Askari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
bado sijaenda kwa mama nikienda ntakupa mrejeshoYule mke wa askari aliekwambia mke wako ana MDOMO mbaya na pua mbaya na SURA mbaya bado anakufwata fwata???
Mkuu kazi zote za kiaskari ni kazi za ovyo, na kijitaftia ufukara wa milele. Hakuna Askri ambae mshahara wake unakutana. Yaani kama kuna laana flani hivi. Ngoja astaafu huyo, utamhurumia.Askari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....
Fact kbsaMkuu kazi zote za kiaskari ni kazi za ovyo, na kijitaftia ufukara wa milele. Hakuna Askri ambae mshahara wake unakutana. Yaani kama kuna laana flani hivi. Ngoja astaafu huyo, utamhurumia.