JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Tatizo lao wanajipa umungu mtu. Wengi hawana utu. Binafsi nawachukia.
Acha dharau wengine wanategemea hiyo kazi kusomeshea watoto we kama una kazi nzuri mshukuru mungu aliye juu pia chuja kwanza kabla ya kukomenti jambo