Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Kwa taarifa yako... Baada ya Gazeti la Mwananchi haya Magazeti Pendwa yanaongoza kuuzwa hapa Tanzania.Hivi haya magazeti bado yapo ila yana "roho" ngumu sana[emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako... Baada ya Gazeti la Mwananchi haya Magazeti Pendwa yanaongoza kuuzwa hapa Tanzania.Hivi haya magazeti bado yapo ila yana "roho" ngumu sana[emoji38][emoji38][emoji38]
Askari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Acha dharau kijana ,bila ya hao si ajabu ungekua ushauliwa ,kuwalinda majambazi wa kila aina ambao wangekua mtaani ingekua vilio kila siku si jambo dogo
Mkeo si anagongwa na hao hao tena in and out boya wewe acha kudharau kaz za watu nyny ndio mnaopigwa nyuma kwa kupenda vitu rahisi kama huna cha kuandika piga kimya sio kuleta uhanith wako humukazi za ovyo tu hizo
+ kazi ya ualimuAskari ...Magereza ni Kazi za ovyo...sana ikiwemo na Upolice....maana Iyo kofia aina maana yeyote...kazi zenyewe zakuliwa na Mbu....
Bora umeamua kumjibu kibusara,hapo alipo analishwa na mume wa dada yake tuSi ajabu huna hata hiyo ya kuliwa mbu! JF kila mtu ni matawi ya juu
Wale majambazo magereza wanalindwa na nani?nadhani hakunielewaPolisi hata siku moja hawajiriwi kwa ajili ya kazi ya kukulinda na majambazi. Serikali ni KIKUNDI CHA WATU WACHACHE AMBAO UTAWALA ARDHI YOTE NA KUWEKA SHERIA ZAO.... POLICE NI KITENGO KIDOGO TU KTK KIKUNDI HCHO CHA WATU WACHACHE AMBAPO HUTUMIA POLICE HAO KULINDA INTEREST ZAO