Diamond amvisha pete Zari, ndoa kufungwa tarehe 1 Mei

Nasikia yule mama anamzidi umri. Mganda mmoja alinambia
 
Sidhani Kama Wema anaumia. Nahisi kwake yeye ni Kama ule msemo usemao kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Yeye ndo kaacha, I believe alikuwa na plan yake. Hakuacha kiolelaolela.

Kama haumii kwanini wale misukule yake wanapata guts ya kumkalia kooni zari na chibu utazani anawadai?? Na ile misukule inafahamiana naye personally asituzuge hapa.Kuumia anaumia sana akikumbuka alivokua anajishau eti ndoa uwanja wa taifa.
 
Afadhali skendo zake za wanawake zitaisha kama sio kupungua
 
diamond hili tukio la kuvalisha wanawake pete ni kawaida yake...kuoa sio hobby yake

Alimvisha nani kabla ya Zari na ikatangazw?

Au unaongelea wanaojinunulia na kujivisha wakiwa nae?

Acha kumsingizia.
 
leo siku ya wajinga jamani
 
:ranger: :ranger: :ranger:
 
Kama haumii kwanini wale misukule yake wanapata guts ya kumkalia kooni zari na chibu utazani anawadai?? Na ile misukule inafahamiana naye personally asituzuge hapa.Kuumia anaumia sana akikumbuka alivokua anajishau eti ndoa uwanja wa taifa.
Shoga mbona unapoteza muda ku argue naye? Kwanza soma ID yake... si ajabu ni bibi kijiti yupo kazini!
 
Mwanaume kuandika hayo maneno aseee.....kumpapatikia mwanaume mwenzio kiasi hicho cha kumuita 'MY KING'.......Dah!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…