Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekua wema ningekufwa siku si zangu
Sidhani Kama Wema anaumia. Nahisi kwake yeye ni Kama ule msemo usemao kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Yeye ndo kaacha, I believe alikuwa na plan yake. Hakuacha kiolelaolela.
Is pregnant au She is Pregnant??
Mpaka harusi ifungwe ndio nitaamini
Maana sarakasi za domo zinachosha.....
diamond hili tukio la kuvalisha wanawake pete ni kawaida yake...kuoa sio hobby yake
Is pregnant au She is Pregnant??
Shoga mbona unapoteza muda ku argue naye? Kwanza soma ID yake... si ajabu ni bibi kijiti yupo kazini!Kama haumii kwanini wale misukule yake wanapata guts ya kumkalia kooni zari na chibu utazani anawadai?? Na ile misukule inafahamiana naye personally asituzuge hapa.Kuumia anaumia sana akikumbuka alivokua anajishau eti ndoa uwanja wa taifa.
Hahahaaa, subirini yangu na Le Super Msomalizz live at Kilimanjaro u know..Teh Teh uknw le umemezzz ndani ya mlimani city..
Nasikia yule mama anamzidi umri. Mganda mmoja alinambia
Tangazo na sponsors juu wow huo ndio u celebrity.
Kwa hii engagement kuna watu watashindwa kunywa maji.Heheheheee ndio basi tena.
[emoji108] [emoji108] [emoji108]